- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Ngara anawatangazia waumishi wote waliopo chini yake kwamba siku ya Jumamosi kuanzia saa 12 kamili asubuhi ni siku maalum iliyotengwa kwa ajili ya ufanyaji mazoezi. Amesema suala hili ni la lazima kwa kila mtumishi ili kuipunguzia serikali mzigo wa kupeleka watu hospitali mara kwa mara.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa