- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya ya Ngara anawatangazia wananchi wote wa wilaya ya Ngara kuzingatia siku ya kufanya usafi kila wiki, ambayo ni siku ya Alhamisi. Pia usafi wa kila mwezi ambao hufanyika kila siku ya Jumamosi ya mwisho wa mwezi. Kila mwananchi unaombwa kutimiza wajibu wako.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa