• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

Education Services

Halmashauri ya Wilaya ya Ngara ina jumla ya shule 29, kati ya hizo 23 ni za serikali na 6 ni za binafsi.  Aidha miongoni mwa hizo kuna shule 5 za kidato cha tano na sita zikiwemo 4 za serikali na 1 ni ya binafsi hivyo kutimiza azima ya Serikali ya kila tarafa kuwa na shule ya kidato cha tano na sita. Halmashauri ya Wilaya ina jumla ya walimu 470 kati ya hao walimu wanaofundisha masomo ya sanaa ni 395 na wanaofundisha masomo ya hisabati na sayansi ni 75.  Jukumu kubwa la idara ya Elimu Sekondari ni kuhakikisha kuwa vijana wote wanaojiunga na masomo ya Sekondari wanahitimu na kufaulu kwenye mitihani yao ya mwisho.

Hali ya Taaluma

Matokeo ya mitihani ya taifa ya kidato cha nne (CSEE) miaka mitatu mfululizo yaani 2015, 2016 na 2017 yanaonesha kuwa hali ya taaluma kwa shule za sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara inaridhisha. Soma Link:

Taarifa maendeleo elimu sekondari.pdf

AKAUNTI ZA SHULE ZA SEKONDARI.pdf

ELIMU BURE CAPITATION DESEMBA 2015- 2016 ELIMU SECONDARY.pdf

ELIMU BURE CAPITATION JULY 2016- JUNE 2018.pdf

ELIMU BURE CHAKULA - ELIMU SEKONDARI DISEMBA 2015 - JUNE 2017.pdf

ELIMU BURE FIDIA YA ADA - ELIMU SEKONDARI.pdf

ELIMU BURE FIDIA YA ADA JULY 2016 - JUNE 2018.pdf

ELIMU BURE FIDIA YA ADA - ELIMU SEKONDARI.pdf

ELIMU BURE FIDIA YA ADA JULY 2016 - JUNE 2018.pdf

ELIMU BURE POSHO WAKUU - ELIMU SEKONDARI AGOST 2016 - JUNI 2017.pdf

Matangazo

  • ZIARA YA WAZIRI MKUU WA TANZANIA MHE. KASSIM MAJALIWA (MB) MKOANI KAGERA TAREHE 19 - 21 FEBRUARI, 2019 February 19, 2019
  • MATOKEO YA MTIHANI WA UPIMAJI KIDATO CHA PILI (FTNA) 2018 February 14, 2019
  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2018 February 14, 2019
  • Tangazo la Kazi za Ufundi Murusagamba February 12, 2019
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • Waziri Mkuu Awataka Wakandarasi Wazawa Wafanyekazi Waache Visingizio

    February 22, 2019
  • Murusagamba Yapata Milioni 265 Kuongeza Miuondombinu

    February 14, 2019
  • Hakikisheni Kila Mwanafunzi Anafaulu kwa Kuimarisha Idara za Kila Somo

    February 12, 2019
  • Askofu Nkwande Ateuliwa kuwa Askofu mkuu wa Jimbo Katoliki la Mwanza

    February 12, 2019
  • Tazama zote

Video

Moto Rusumo Agosti 2018
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa