• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

TEHAMA na Uhusiano

  Jauarius Kasmiri Rugaimukamu

CHEO

MAWASILIANO
                           


District Information, Communication and Technology Officer (DICTO)

+255 625 198 912
habari@ngaradc.go.tz
tehama@ngaradc.go.tz


Kitengo cha Technolojia ya habari na mawasiliano na uhusiano ni moja ya vitengo vipya vya Halmashauri ya wilaya ya Ngara vilivyoanzishwa mwaka 2011. Kitengo kinashughulikia mambo makuu yafuatayo:-

Eneo la TEHAMA

•    Kusimamia ufungaji na kujaribu vifaa vyote vya elektroniki vilivyoko halmashauri.

•    Kutumia na kuhifadhi programu za kompyuta, vifaa vya kompyuta na mitambo ya mifumo na mawasiliano;(kama simu, intanet, kanzidata na vitu vingine).

•    Kusimamia shughuli zote za matengenezo ya vifaa vya elekroniki pamoja na kompyuta.

•    Kuhakikisha mifumo ya TEHAMA iliyopo katika Halmashauri inafanya kazi kama inavyotakiwa;

•    Kutoa msaada wa kiufundi kwa watumishi wote wa Halmashauri katika eneo la TEHAMA;

•    Kutoa mafunzo kwa watumishi wa Halmashauri katika masuala ya TEHAMA zikiwemo programmu mbalimbali;

•    Kusimamia sera, mikakati na miongozo inayotolewa na Serikali Kuu juu ya uendeshaji wa mifumo, miundombinu na vifaa vya TEHAMA;

•    Kuibua mahitaji ya mifumo ili iweze kusanifiwa na kisha kutengenezwa na kutumika;

•    Kuchambua na kuainisha huduma zinazoweza kutolewa na mifumo ya kielekroniki katika Halmashauri;

•    Kuhakikisha miundombinu kiambo (Local Area Network) katika Halmashauri inafanya kazi na mtandao wa intaneti unapatikana;

•    Kuandaa mpango, bajeti, mpango kazi, mpango mkakati wa kuteleza kazi za TEHAMA katika Halmashauri;

•    Kutengeneza utaratibu mzuri wa kutunza taarifa na data ili ziweze kutumika wakati wa majanga;

•    Kufanya na kusimamia matengenezo ya vifaa vyote vya TEHAMA;

•    Kutafiti na kuchambua matatizo ya vifaa vya TEHAMA na kutoa suluhisho;

•    Kushirikiana kwa karibu na wataalamu wa TEHAMA wa Mkoa na wa Wizara ili kubadilishana uzoefu na kujengeana uwezo;

•    Kutoa specification za vifaa kwa ajili ya manunuzi;

•    Kushiriki katika zabuni za vifaa vya TEHAMA na kuhakiki ubora wake kabla havijaanza kutimika; na

•    Kuhakikisha Halmashauri ina tovuti na inapatikana wakati wote.


Eneo la Uhusiano

•    Kusimamia sera, mikakati na miongozo inayotolewa na Serikali Kuu juu ya uendeshaji wa kazi za Uhusiano;

•    Kuandaa mpango, bajeti, mpango kazi, mpango mkakati wa kuteleza kazi za Uhusiano katika Halmashauri;

•    Kutangaza kazi na miradi inayofanyika katika Halmashauri;

•    Kutangaza maeneo ya uwekezaji ya Halmashauri katika tovuti, radio na majarida;

•    Kuhakikisha tovuti ya Halmashauri ina taarifa mpya kila wakati pamoja na District Profile;

•    Kuandaa na kutoa majarida kuhusu Halmashauri;

•    Kushiriki katika mijadala ya jamii kuhusu masuala ya Halmashauri;

•    Kutumia TEHAMA katika kutoa elimu kwa jamii;

•    Kusimamia press briefing za Halmashauri;

•    Kushauri Halmashauri juu ya uandaaji, uzalishaji na usambazaji wa nyaraka kwa wadau mbalimbali; na

•    Kushirikiana kwa karibu na afisa uhusiano wa Mkoa na wa Wizara ili kubadilishana uzoefu na kujengeana uwezo.

•    Kuratibu habari za Halmashauri na kuzitoa kwa wahusika kwa mujibu wa kanuni za kitengo cha habari.

•    Kuandaa, kuandika na kuhakiki machapisho, makala na miswada mbalimbali ya halmashauri, pamoja na kalenda.

•    Kuwa kiungo kati ya maeneo mengine ya kituo cha data, programu na mawasiliano ya kompyuta.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2019 January 09, 2020
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2019 January 09, 2020
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2019 January 09, 2020
  • Matokeo ya mitihani iliyofanyika 2017 January 30, 2018
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA NA MKURUGENZI MTENDAJI KUTEMBELEA UJENZI WA MADARASA KWA AJILI YA MAPOKEZI YA KIDATO CHA KWANZA 2021

    January 05, 2021
  • MKURUGENZI AWAAGIZA VIONGOZI WA KATA MPAKA VITONGOJI KUHIMIZA MATUMIZI BORA YA VYOO NA USAFI WA MAZINGIRA

    August 12, 2020
  • NGARA YAGEUKA KIVUTIO KWA WENGI MAONESHO YA NANENANE 2020

    August 08, 2020
  • MKUU WA WILAYA NGARA AWASIFU WAKULIMA WA NGARA

    August 07, 2020
  • Tazama zote

Video

Moto Rusumo Agosti 2018
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa