- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
PICHA/JINA
|
CHEO
|
SIMU
|
Eng. Godeliver J. Gwambasa
![]() |
Mhandisi wa Maji
|
+255 784 599 737, / 0756 796 149
maji@ngaradc.go.tz
|
Halmashauri ya Wilaya ya Ngara imeendelea kutoa huduma ya maji kwa kutumia teknolojia mbalimbali kama vile maji ya bomba ya bubujiko, maji ya bomba ya kusukumwa na mitambo, chemichemi za asili zilizoboreshwa, visima vya pampu za mikono na uvunaji wa maji ya mvua.
Mtandao wa usambazaji maji safi na salama vijijini unakadiriwa kuwa 60.3% hadi kufikia Mwezi Oktoba 2017. Kiwango hiki cha mtandao kimezingatia upatikanaji wa maji salama bila kujali umbali unaotembewa na watumiaji. Hali halisi ya huduma ya maji vijijini ni kama inavyooneka katika jedwali Na.1 hapo chini.
Majukumu ya Idara ya Maji
Idara ya Maji inalo jukumu la kuhakikisha jamii ya Ngara inapata huduma ya maji safi na salama katika umbali wa mita 400 kwa maeneo ya vijijini na mita 200 kwa maeneo ya vijijini. Majukumu mahsusi ya idara ya maji ni pamoja na:
Vipaumbele vya Idara ya Maji
Kwa mwaka wa fedha wa 2018/2019 tumepokea kiasi cha Tshs. 423,044,704.02 za maendeleo, ambapo tumefanikiwa kukamilisha mradi mmoja wa maji katika kijiji cha Mukubu.
TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA VIJIJI 10
Taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maji ya Vijiji 10 chini ya Program ya Maendeleo ya Sekta ya Maji (WSDP) ni kama inavyoonekana katika jedwali lifuatalo;
MAFANIKIO
Katika miradi ya vijiji 10 chini ya programu ya WSDP Halmashauri ya Ngara tumefanikiwa kukabidhi miradi 3 kwa wananchi. Miradi hiyo ni Rulenge, Ngundusi na Mukibogoye. Miradi mingine mitatu (3) ya Munjebwe, Rwinyana na Mukubu haijakamilika kwa 100% lakini wananchi wananufaika na huduma ya maji safi na salama.
CHANGAMOTO
UTATUZI WA CHANGAMOTO
Halmashauri na Wadau mbalimbali wa sekta ya maji wanaendelea kutoa elimu kwa Wananchi ili waache kufanya shughuli za kibinadamu kwenye vyanzo vya maji ili kuepuka kukauka kwa vyanzo hivyo.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa