• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

Mafunzo ya PLANREP na FFARS

Wakati ilipowekwa: September 30th, 2017

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya Ndg Gedion S. Mwesiga (Hayupo kwenye picha) wakati akifunga mafunzo ya mfumo wa mipango na bajeti wa mamlaka ya serikali za mitaa (PLANREP) na mfumo wa usimamizi wa fedha katika vituo vya kutolea huduma (FFARS) aliwashukuru washiriki wa mafunzo hayo kwa kuwa watulivu na wasikivu kwa kipindi chote cha mafunzo.

Aliwataka washiriki kutumia elimu waliyoipata mara mfumo utakapoanza kutumika rasmi kuandalia bajeti, ambapo mategemeo ni kuanza kutumika katika bajeti ya mwaka wa fedha 2018/2019. Pia amewataka kuwaelekeza wenzao ambao hawakupata nafasi ya kuhudhuria mafunzo hayo.

kwa upande wa FFARS kaimu mkurugenzi amewataka wakuu wa idara wenye vituo vya kutolea huduma vitakavyotumia mfumo huo, kuweka mazingira wezeshi ili zoezi la kuingiza taarifa za kifedha kwenye mfumo huo liweze kufanikiwa. Amewakumbusha wakuu wa idara hizo (Elimu Msingi, Elimu Sekondari na Afya) kuwa taarifa hizo za kifedha zinapaswa kuwa zimeingizwa kwenye mfumo wa FFARS kabla ya tarehe 30 Oktoba 2017.

Mafunzo hayo yaliyofanyika kwa siku 5 kuanzia tarehe 26 - 30 Septemba 2017 yaliendeshwa na wataalam kutoka idara za Mipango, Fedha, Afya na kitengo cha TEHAMA na Uhusiano.


Matangazo

  • Tangazo la Kazi ya Mtendaji wa Kijiji March 26, 2018
  • Matokeo ya mitihani iliyofanyika 2017 January 30, 2018
  • Matokeo ya kumaliza kidato cha sita na ualimu 2017 July 15, 2017
  • Tangazo la nafasi za kazi July 10, 2017
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • Vumilieni Wakati Serikali Inayafanyiakazi Matatizo Yenu

    April 13, 2018
  • Fanyeni Biashara kwa Kufuata Taratibu Zilizowekwa na Serikali

    April 13, 2018
  • Anthony Apokelewa Amani Vumwe English Medium Pre-Primary and Secondary School

    April 11, 2018
  • Kaya Masikini Kunufaika na TASAF Awamu ya Tatu Ngara

    April 09, 2018
  • Tazama zote

Video

Ufafanuzi juu ya vikao vya kisheria katika mamlaka za miji midogo ya Ngara Mjini na Rulenge
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa