Wakati ilipowekwa: May 26th, 2025
KATOKE MULEBA
26/05/2025
Michezo ya Shule za Msingi UMITASHUMTA Ngazi ya Mkoa wa Kagera yameanza katika viwanja vya michezo Katoke Chuo cha ualimu.
YAFUATAYO NI MATOKEO YA MICHEZO...
Wakati ilipowekwa: May 24th, 2025
NGARA UPDATES
24/05/2025
Yamefanyika mafunzo ya usalama Barabarani kwa madereva ikiwa ni namna ya kupunguza ajali.
Mafunzo hayo yamefanyika ukumbi wa Community Centre Ngara ...
Wakati ilipowekwa: May 23rd, 2025
23/05/2025
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Maafisa Habari Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Seriksali za Mitaa kuhakikisha wananchi wanapata habari ...