- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
PICHA/JINA
|
CHEO
|
MAWASILIANO
|
Ndugu Deya Bulilo
![]() |
Mwanasheria (W)
|
+255 784 930 814
sheria@ngaradc.go.tz
|
Kitengo cha sheria ni miongoni mwa vitengo sita (6) vya Halmashauri ya Wilaya ya Ngara ambacho hufanya kazi zake kwa kushirikiana na Idara zingine.
Jukumu kubwa la Kitengo ni kutoa ushauri wa kisheria kwa Halmashauri pamoja na ngazi za chini za utawala. Kitengo pia hujishughulisha na usimamiaji wa uundaji na undeshaji wa mabaraza ya usuluhishi ya kata.
Majukumu ya Kitengo
Mafanikio.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa