• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika

1.0     UMUHIMU WA KILIMO:

PICHA/JINA
CHEO
MAWASILIANO
Ndugu Constantine E. Mudende

Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
+255 784 979 637
kilimo@ngaradc.go.tz

1.1     Idara ya kilimo.

Idara ya kilimo inalenga kuleta huduma ya ushauri wa kitalaamu karibu na wakulima. Lengo kubwa likiwa ni kupunguza umasikini uliokithiri kwa kutumia njia kuu nne za uzalishaji ambazo ni ardhi, watu, mtaji na ujasiliamali. Asilimia 90 ya wakazi wa Ngara wanategemea kililmo ili kuendesha maisha yao ya kila siku. Matumizi ya ardhi Wilayani Ngara yapo kama ifuatavyo:-

1.2 KILIMO.

Kahawa ni zao la biashara ambalo linalimwa katika kata 19 kati ya kata 22 zilizopo hapa Wilayani Ngara ingawaje haizalishwi kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na Wilaya jirani za Karagwe na Muleba.  Kiasi kinachozalishwa kwa mwaka ni kati ya tani 303 hadi 960 za kahawa safi. Mazao makuu ya chakula hapa Wilayani ni ndizi, maharage, muhogo na mazao mengine ya mizizi.  Jitihada za kuongeza uzalishaji wa mazao haya unafanyika kupitia mashamba darasa ambapo wakulima hufundishwa mbinu bora za kilimo cha mazao hayo na baadaye wao kwenda kuzitumia katika mashamba yao.

Wilaya ina misimu 3 ya mazao ambayo ni vuli, masika na kipindi cha kiangazi ambapo wakulima hufanya umwagiliaji wa asili. Hali hizi za hewa huwezesha wakulima kuweza kuzalisha mazao mwaka mzima.

Upatikanaji wa mvua ni kiasi cha mm 800- mm1400 kwa mwaka.

2016/2017, Wilaya imelenga kulima hekta 64,940 za mazao mbalimbali ambazo zinatarajiwa kuzalisha tani 437,263.





1.6. HALI YA UMWAGILIAJI.

Wilaya inalo eneo linalofaa kwa kilimo cha Umwagiliaji hekta 5000. Kwa sasa hekta 3,200 zinalimwa kwa kutumia kilimo cha umwagiliaji wa asili katika mabonde yote yaliyopo hapa Wilayani Ngara.  Mabonde yaliyo mengi yana vijito vinavyotiririsha maji mwaka mzima kiasi cha kuwezesha Wilaya kutumia mabonde yake katika kilimo endelevu, Wilaya inategemea kuboresha kilimo cha mabondeni kwa kukamilisha ujenzi wa skimu ya umwagiliaji ya Bigombo-Rulenge yenye ukubwa wa hekta 110 ambao ujenzi wake ulianzishwa na mradi wa DASIP.  Zaidi ya kaya 762 zitanufaika na skimu hiyo.  Yapo mabonde mengi ambayo yanaweza kutumika kwa shughuli za umwagiliaji ambayo ni, Mugozi (Hekta 540), Muhongo (Hekta 170), Nyarulama (Hekta 110), Ntobeye (Hekta580), Magamba (120Ha), Rwinyana (160Ha),Mpanyura (430), Mubuhenge (Hekta 94), Nzaza (Hekta 150), Murutabo (Hekata 100), Mukafigiri (Hekta 60), Kumwendo (Hekata 300) na Ngundusi (Hekta 110).

Uwepo wama eneo haya muhimu unawezesha  kuanzisha ujenzi wa skimu za umwagiliaji ambazo zinaweza kuongeza uzalishaji wa mazao ya  chakula na mboga.


1.7SEKTA YA MAENDELEO YA USHIRIKA

Wilaya ya Ngara inacho chama kimoja cha Ushirika wa wakulima kinachojishughulisha na uuzaji wa mazao hasa zao la kahawa ambalo ndilo zao kuu la biashara.

 

1.7.1  Hali ya maendeleo ya Vyama vya ushirika.

3.0 FOMU ZINAZOJAZWA NA WATAALAMU KWA AJILI YA SHUGHULI MBALIMBALI

  • Fomu za ruhusa ya likizo.
  • Fomu za kupima utendaji wa mtumishi kazini (Opras)
  • Fomu za kukusanyia taarifa mbalimbali za Kilimo na Mifugo(ARDS)
  • Na Fomu ya likizo/ ruhusa ya dharula


Matangazo

  • TANGAZO LA TATHMINI YA UJUZI NA UZOEFU KATIKA WILAYA YA NGARA KUTOKA TEMBO NICKEL August 30, 2022
  • MREJESHO WA MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023 KWA KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO TAREHE 12 AGOSTI, 2022 September 23, 2022
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2022 HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA December 04, 2022
  • RIPOTI YA ATHARI ZA KIMAZINGIRA NA KIJAMII MRADI WA MAEGESHO YA MAGARI BENAKO December 01, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • WILAYA YA NGARA YANUNUA MAGARI KUTOKANA NA FEDHA ZA MAPATO YA NDANI

    March 17, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU BAJETI YA HALMASHAURI 2023/2024 NGARA KAGERA

    March 07, 2023
  • KAMATI YA USHAURI YA WILAYA (DCC) YAPITISHA RASIMU YA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    February 22, 2023
  • MHE RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT SAMIA SULUHU HASSAN ATOA PIKIPIKI KWA WATENDAJI WA KATA WILAYANI NGARA KAGERA.

    February 28, 2023
  • Tazama zote

Video

Moto Rusumo Agosti 2018
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa