• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

Usafi na Mazingira

IDARA  USAFI  NA   MAZINGIRA.

PICHA/JINA
CHEO
MAWASILANO
                         Ndugu, Zawadi Nicolaus Waziri

Kaimu Afisa Mazingira na Usafi
+255 684 998 788,/ +255 764 795 964
mazingira@ngaradc.go.tz

Idara ya usafishaji na mazingira ni moja ya Idara mpya ya Halmashauri ya Wilaya ya Ngara iliyoanzishwa mwaka 2011 ikiwa inashughulikia mambo makuu yafuatayo:-


I.    Kusimamia na kuratibu masuala yote yahusuyo usafi wa mazingira Wilayani,

II.    Kusimamia na kuratibu masuala yote ya utunzaji wa mazingira, afya za binadamu, wanyama na mimea Wilayani,

III.    Kuhakikisha utekelezaji wa sheria ya mazingira namba 20 ya mwaka 2004 kwenye Wilaya,

IV.    Kushauri kamati ya usimamizi wa mazingira ya Wilaya kuhusu masuala yote ya mazingira,

V.    Kukuza weledi kuhusu ulinzi wa mazingira na uhifadhi maliasili kwenye Wilaya,

VI.    Kukusanya na kusimamia taarifa kuhusu mazingira na matumizi ya maliasili kwenye Wilaya,

VII.    Kuandaa taarifa za mihula kuhusu hali ya mazingira ndani ya wilaya,

VIII.    Kufuatilia maandalizi, mapitio na vibali vya tathmini ya Athari kwa mzingira kwa ajili ya uwekezaji wa ndani,

IX.    Kufanya mapitio ya sheria ndogo zinazohusu usimamizi wa mazingira na shughuli maalumu za kisekta zinazohusiana na mazingira.

12.1    Vipaumbele vya Idara


I.    Kuhimiza , kusimamia na kuendeleza usafi wa mazingira na jamii katika Wilaya

II.    Kuhimiza na kusimamia matumizi endelevu ya rasilimali za mazingira katika wilaya

III.    Kupitia na kuendesha uchujaji wa miradi (Environment  and  social screening) kwa  miradi yote inayotekelezwa ndani ya wilaya yetu ili kupunguza madhara ya kimazingira na kijamii.



Matangazo

  • TANGAZO KWA WATUMISHI AJIRA MPYA July 05, 2021
  • EMPLOYMENT OPPORTUNITIES AT NELSAP-CU October 08, 2021
  • Matokeo ya mitihani iliyofanyika 2017 January 30, 2018
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA - JKT June 04, 2019
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • NGARA YAPOKEA FEDHA ZA UTEKELEZAJI WA MIRADI INAYOENDELEA YA MPANGO WA MAENDELEO KWA USTAWI WA TAIFA NA MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO-19

    November 17, 2021
  • UWEZESHAJI NGAZI YA TAIFA TASAF III AWAMU YA PILI KATIKA HALMASHAURI YA NGARA

    March 03, 2021
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA NA MKURUGENZI MTENDAJI KUTEMBELEA UJENZI WA MADARASA KWA AJILI YA MAPOKEZI YA KIDATO CHA KWANZA 2021

    January 05, 2021
  • MKURUGENZI AWAAGIZA VIONGOZI WA KATA MPAKA VITONGOJI KUHIMIZA MATUMIZI BORA YA VYOO NA USAFI WA MAZINGIRA

    August 12, 2020
  • Tazama zote

Video

Moto Rusumo Agosti 2018
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa