• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

Uchaguzi

Picha/Jina

CHEO

MAWASILIANO
Jamary Idrisa Abdul

Kaimu Afisa Uchaguzi(W)

+255713651600, +255684186969
uchaguzi@ngaradc.go.tz



Kitengo cha Uchaguzi katika ngazi ya Mamlaka ya serikali za mitaa (MSM) kina fanya kazi chini ya Tume yaTaifa ya  Uchaguzi iliyoanzishwa Januari mwaka 1993 chini ya kifungu namba 74(1) cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977.

Katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, Kitengo cha Uchaguzi ni kati ya Vitengo 6 vilivyopo na Kitengo hiki kilianzishwa mwaka 2011 baada ya Waziri Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kutangaza mfumo mpya wa Idara na Vitengo katika Mamlaka za Serikali za Mitaa.

 Halmashauri ya Wilaya ya Ngara kiutawala imegawanyika katika Tarafa 4,Kata 22, Vijiji 75, Vitongoji 389 na Jimbo 1 la uchaguzi ngazi ya  Ubunge.

MAJUKUMU YA KITENGO CHA UCHAGUZI.

  • Kuratibu na kusimamia Uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
  • Kuratibu chaguzi ndogo zote za Serikali Kuu na Mamlaka ya Serikali za Mitaa
  • Kusimamia chaguzi za marudio katika nafasi mbalimbali za uongozi katika Mamlaka za Mitaa (Wenyeviti wa Vijiji/ Vitongoji) zinazojitokeza kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo kuacha kazi, maelekezo ya vyama, kufariki dunia n.k
  • Kuandaa Bajeti ya kitengo kila mwaka
  • Kazi nyingine za uchaguzi kadri utakavyoelekezwa na Mkurugenzi Mtendaji (W).
  • Kutoa tafsiri sahihi za sheria, kanuni, miongozo mbalimbali ya uongozi, utawala na shughuli za chaguzi na ngazi zote nchini.
  • Kusimamia na kuratibu kazi zote za utawala na uendeshaji wa chaguzi mbalimbali kwenye ngazi za Vijiji, Kata na Uchaguzi Mkuu wa Taifa.
  • Kuchambua mapendekezo ya uandaaji wa sera na mipango mbalimbali isiyohusu chaguzi zote nchini.
  • Kushauri kuhusu uhuishwaji wa sheria, sera, kanuni na taratibu za uchaguzi kutegemea aina/ ngazi ya uchaguzi.
  • Kusimamia mazoezi yote ya marekebisho ya madaftari ya wapiga kura.
  • Kushirikiana na maafisa ngazi za Kata na Vijiji kubaini maeneo/ vituo vya kupiga kura
  • Kusimamia utayarishaji wa bajeti ya matumizi ya kawaida katika kitengo hicho.
  • Kushauri mamlaka za Serikali kuu na Serikali za Mitaa kuhusu masuala ya uchaguzi pale itakapohitajika.
  • Kuandaa mpango wa utendaji kazi kadri utakavyopokea maelekezo kutoka ngazi za juu.

UCHAGUZI JIMBO LA UBUNGE.

Matokeo ya Ubunge katika jimbo la Uchaguzi la Ngara, Mgombea kupitia Chama cha Mapinduzi ndie aliyeshinda kiti cha Ubunge.

CHANGAMOTO ZA KITENGO CHA UCHAGUZI.

  • Upungufu wa Rasilimali watu katika Kitengo
  • Upungufu wa Vitendea kazi (ie Computer,magari nk).
  • Kuletewa Bajeti ndogo ya Uchaguzi hususani Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nk.

TAARIFA YA UCHAGUZI MDOGO KATA YA KEZA JANUARI 2018.pdf

UHAKIKI WA VITUO VYA UANDIKISHAJI WA WAPIGA KURA NGARA DC.pdf

UHAKIKI NA MAREKEBISHO YA MAENEO YA UTAWALA NGARA DC.pdf

Matangazo

  • TANGAZO LA TATHMINI YA UJUZI NA UZOEFU KATIKA WILAYA YA NGARA KUTOKA TEMBO NICKEL August 30, 2022
  • MREJESHO WA MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023 KWA KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO TAREHE 12 AGOSTI, 2022 September 23, 2022
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2022 HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA December 04, 2022
  • RIPOTI YA ATHARI ZA KIMAZINGIRA NA KIJAMII MRADI WA MAEGESHO YA MAGARI BENAKO December 01, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • WILAYA YA NGARA YANUNUA MAGARI KUTOKANA NA FEDHA ZA MAPATO YA NDANI

    March 17, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU BAJETI YA HALMASHAURI 2023/2024 NGARA KAGERA

    March 07, 2023
  • KAMATI YA USHAURI YA WILAYA (DCC) YAPITISHA RASIMU YA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    February 22, 2023
  • MHE RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT SAMIA SULUHU HASSAN ATOA PIKIPIKI KWA WATENDAJI WA KATA WILAYANI NGARA KAGERA.

    February 28, 2023
  • Tazama zote

Video

Moto Rusumo Agosti 2018
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa