• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

Elimu ya Msingi

MAJUKUMU YA IDARA YA ELIMU  MSINGI

PICHA/JINA

CHEO

MAWASILIANO
Bi. Jusline Bandiko


Afisa Elimu Msingi (W)


elimumsingi@ngaradc.go.tz

Katika Halmashauri ya Wilaya Ngara Idara ya Elimu Msingi ina jukumu la kusimamia na  kuhakikisha kuwa wananchi wake wanapata Elimu iliyo bora katika maeneo yafuatayo; Elimu ya awali, Elimu ya Msingi, Elimu ya watu wazima na Elimu ya ufundi Stadi.

IDADI YA SHULE, WANAFUNZI, ASASI MBALIMBALI NA UWIANO WA MWALIMU KWA WANAFUNZI

Tuna jumla ya Shule za Msingi 120 kati ya hizi 115 ni za Serikali na 5 si za Serikali. Katika shule hizi za Msingi pia kuna madarasa ya Awali 120 . Jumla ya Vituo vya MEMKWA ni 15 na Vituo vya Ufundi Stadi ni 5.

Jumla ya Wanafunzi wa Awali  hadi Darasa la Saba kwa takwimu za Januari, 2016 ni  75,341 ( Wavulana 37,614; Wasichana 37,727) katika Shule za Serikali. Uwiano wa Mwalimu kwa Wanafunzi ni 1:46.  Katika shule zisizo za serikali kuna jumla ya wanafunzi 899 (Wavulana 460; Wasichana 439).    Hivyo jumla ya Wanafunzi wote ni 76,240 (Wavulana 38,074; Wasichana 38,166).

Kutokana na mwitiko mzuri wa jamii katika uandikishaji wa wanafunzi kwenye madarasa ya Awali na I, ifikapo tarehe 31 Machi, 2017 tutakuwa na ongezeko zaidi la wanafunzi. Hii ni kutokana na Mpango wa Serikali wa Elimu bila Malipo.

 HALI YA MIUNDOMBINU : MADAWATI, VYUMBA VYA MADARASA, NYUMBA ZA WALIMU NA VYOO

Kwa mwaka 2016 Halmashauri ya Wilaya ya Ngara imefanikiwa kuondoa tatizo la madawati kwa 100% hivyo wanafunzi wote kukaa kwenye madawati. Uhitaji mwingine wa madawati utatokana na ongezeko la uandikishaji wa wanafunzi wa Awali na Darasa la Kwanza kwa mwaka 2017.  Kwa upande wa miundombinu mingine jitihada zinaendelea kuuondoa upungufu uliopo ambapo tayari mafanikio makubwa yamejitokeza. Mathalani, vyumba vya madarasa vya kudumu vilivyopo ni 46%, nyumba za walimu 16% na Vyoo 36%.

 UTEKELEZAJI WA MTAALA NA MAENDELEO KITAALUMA KWA UJUMLA

Kwa jumla wananchi na wadau mbalimbali wa elimu: wanafunzi,walimu , wazazi, jamii, serikali na mashirika wamekuwa na ushirikiano mzuri – kila mmoja kwa nafasi yake hivyo kupelekea mazingira wezeshi na rafiki ya ujifunzaji na ufundishaji. Ushirikiano huu umeifanya Wilaya ya Ngara kufanya vizuri kitaaluma mwaka hadi mwaka katika mitihani ya kitaifa. Mathalani katika Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2016 ufaulu wa wanafunzi ulikuwa 87.82% kutoka asilimia 83.05 mwaka 2015;  kuwa wa kwanza katika Mkoa wa Kagera kati ya Halmashauri 8, aidha kuwa wa 12 kitaifa kati ya Halmashauri 185.




Matangazo

  • TANGAZO LA TATHMINI YA UJUZI NA UZOEFU KATIKA WILAYA YA NGARA KUTOKA TEMBO NICKEL August 30, 2022
  • MREJESHO WA MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023 KWA KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO TAREHE 12 AGOSTI, 2022 September 23, 2022
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2022 HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA December 04, 2022
  • RIPOTI YA ATHARI ZA KIMAZINGIRA NA KIJAMII MRADI WA MAEGESHO YA MAGARI BENAKO December 01, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • WILAYA YA NGARA YANUNUA MAGARI KUTOKANA NA FEDHA ZA MAPATO YA NDANI

    March 17, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU BAJETI YA HALMASHAURI 2023/2024 NGARA KAGERA

    March 07, 2023
  • KAMATI YA USHAURI YA WILAYA (DCC) YAPITISHA RASIMU YA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    February 22, 2023
  • MHE RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT SAMIA SULUHU HASSAN ATOA PIKIPIKI KWA WATENDAJI WA KATA WILAYANI NGARA KAGERA.

    February 28, 2023
  • Tazama zote

Video

Moto Rusumo Agosti 2018
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa