- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Tuesday 21st, January 2025
@Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Ngara
Mhe Mkuu wa Wilaya Col Mathias Kahabi akifungua Kikao cha wadau mbalimbali Kwa ajili ya kujadili na kuweka mikakati ya kukabiliana na hali ya mauaji ambayo yamekithiri.
Wadau walioudhulia kamati ya usalama Wilaya, kamati ya amani Wilaya, viongozi wa kimila, viongozi wa CCM Wilaya, vyama vya siasa, Wakuu wa Idara, taasisi, mashirika, waheshimiwa Madiwani, viongozi wa wafugaji, walimu Wakuu shule za Msingi, walimu Wakuu wa Shule sekondari, viongozi wa kimila, maafisa elimu Kata, wenyeviti wa kamati za usalama vijiji, Kata, tarafa na wazee maarufu.
Mada Mbalimbali zimetolewa na Kamati ya Usalama Mkoa Ambao ni ssp Justin Joseph kaimu RPC KAGERA, ACL:Thomas k. Fussy Afisa uhamiaji Mkoa, na Ezekia Sinkara (Naibu mkuu wa Takukuru mkoa)
Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa Halmashauri Wilaya Ngara.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa