- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Sunday 22nd, December 2024
@Halmashauri HQ
Katika kikao hiki kamati ya fedha,utawala na mipango ilizipitisha taarifa za robo ya nne ya mwaka wa fedha wa 2018/2019. Taarifa zilizopitishwa ni za idara ya fedha,idara ya mipango, idara ya utumishi,kitengo cha manunuzi na kitengo cha ukaguzi wa ndani.
Hakuna taarifa ambayo haikupitishwa.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa