- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Sunday 22nd, December 2024
@Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Ngara.
Bhh
MKUU WA WILAYA YA NGARA KANALI MATHIAS KAHABI Ameongoza Kikao kazi Cha Lishe Wilaya ya Ngara akiwa na Ndugu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Solomon Kimilike, Katibu wa CCM Wilaya Ndugu John Melele Na wageni waalikwa Kwa ujumla ni Maafisa Tarafa, Maafisa Watendaji wa kata, Maafisa Elimu Kata, Wakuu wa Shule za sekondari na walimu Wakuu shule za Msingi.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa