- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Sunday 22nd, December 2024
@Ngara Mjini
Kikao Kazi cha walimu wakuu Shule za Msingi za Serikali na Binafsi pamoja na maafisa Elimu , kikao kikiongozwa na Bi Josline Bandiko Afisa Elimu msingi,kilichofanyika ukumbi wa Ngara sekondari , Aidha walijadili Muongozo wa uboreshaji Elimu, Uandikishaji wa Elimu Awali, Darasa la kwanza ,Udhibiti wa utoro wa wanafunzi,Michezo ya UMITASHUMTA na Mikakati ya Kuboresha taaluma shuleni.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa