- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Sunday 22nd, December 2024
@Visionary Sekondari Mukirehe
Kambi ya vijana 300 inayoendelea wilayani Ngara ,ambapo leo wamejitolea damu zaidi ya unit 80 .
Akiongea Mgeni rasmi Mhe Col Mathias kahabi ambaye aliambatana na kamati ya ulinzi na usalama na maafisa toka Halmashauri ya wilaya ya Ngara .
Mgeni rasmi aliwapongeza vijana kwa kujitoa na kuonesha uzalendo wao.Aidha aliwataka vijana katika kambi hiyo ni muhimu sana kufanya mazoezi kwa afya ya mwili.
Aliwashukuru walioandaa ofisi ya maendeleo ya jamiii , afisa vijana na katibu UVCCM.Baada ya maelezo mhe mkuu wa wilaya alifungua kambi hiyo kwa kusisitiza usafi maeneo yao pia kujitoa kwa kuonesha uzalendo wa kweli.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa