- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Thursday 30th, October 2025
@Kibasila Sekondari, Manispaa ya Temeke, Dar es salaam.


Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Imetoa Magari kwa maafisa Elimu Sekondari ambapo katika hafla hiyo Ngara imewakilishwa na Afisa Elimu Sekondari Mwalimu Enock Ntakisigaye aidha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Ngara amempongeza Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Kwa Kutoa gari katika Halmashauri ya Wilaya Ngara.Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa