- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Sunday 22nd, December 2024
@Makao Makuu ya Halmashauri Ngara
Shirika la utafiti na kupuguza umaskini( REPOA ) wametoa MAFUNZO Kwa wakufunzi 16 kutoka ngazi ya Tarafa 4 . Pia Kwa wataalam na baadhi ya waheshimiwa madiwani wakiongozwa na Mhe Makamu M/kiti wa Halmashauri Burindoli. Mafunzo hayo yalikuwa ya uelewa wa mabadiliko ya Tabianchi,visababishi,Athari za mabadiliko ya Tabianchi,Mbinu,Ubunifu,Teknolojia za kilimo na mabadiliko ya Tabianchi. Mafunzo yalifanyika tarehe 24/01/2023 katika ukumbi wa Halmashauri.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa