• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

Ukimwi

Ngara ni Wilaya moja kati ya wilaya nane zilizopo katika mkoa wa Kagera Magharibi mwa  Tanzania bara. Umbali wa kutoka Ngara hadi Dare s Salaam ni km 1600 na makao makuu ya mkoa ni km 350. Wilaya ina pakana na nchi za Rwanda na Burundi. Wananchi wake wanaoishi mipakani huweza kuvuka mipaka, ili kutafuta huduma mbalimbali ikiwemo huduma za afya kutafuta ajira katika mradi mkubwa wa kutengeneza umeme wamaji uliopo katika maporomoko ya rusumo katika eneo hili kuna mkusanyiko mkubwa wa watu kutoka china,Rwanda,Burundi,Ethiopia,afrika ya kusini pamoja na watanzania kutoka mikoa mbalimbali nchini . kwa sasa hali hii inachangia kuenea kwa magonjwa mbalimbali ya zinaa na ukimwi katika eneo hili ambalo kimkoa wilaya ya Ngara ndiyo yenye maambukizi yaliyo chini kuliko wilayazote.hivyo mikakati ya kudhibiti maambukizi katika mkusanyiko huu isipowekwa mapema maambukizi yataongezeka kutoka asilimia 0.7 na kuendelea

HUDUMA ZA AFYA

Ngara ina vituo 61 vinavyotoa huduma za afya kati ya hizo 3 ni hospitali 5 ni vituo vya afya,na 53 ni zahanati. Vituo hivi vinahudumia watu 379050.

MAWASILIANO NA USAFIRI 

Kuna barabara ya  Rami kutoka isaka inaunganisha  wilaya ya Ngara hadi Kigali Rwanda, Bujumbura Burundi na Dar e s salaam  pia kuna bara za udongo zinazo unganisha mitaa na vijiji mbalimbali na pia kuna uwanja wa ndege wa  Ruganzo  umbali wa km 8 kutoka Ngara mjini.

MIPAKA ILIYOPO NGARA

Wilaya ya Ngara ime zungukwa na mipaka mitatu  upande wa magharibi ni mpaka wa mursagamba upande mashariki ya kati kuna mpaka wa kabanga hii mipaka yote inaunganisha wilaya na  Burundi. Pia kuna mpaka wa Rusumo  unaounganisha na Rwanda vile vile kuna mipaka isiyorasmi kama vile mugoma ambayo pia inaunganisha na Burundi.

MAEGESHO YA MAGARI  

Kando kando ya barabara kuu iendayo Kigali (RWANDA) Kuna maeneo ya kuegesha magari yaliyo tengwa kama ifuatavyo.

1.Muzani  eneo la  Murusagamba kuelekea mpakani Burundi

2.Benaco bara bara inayoelekea Rusumo kuelekea Rwanda

3.Ngara mjini barabara kuelekea Burundi kupitia Kabanga mpakani.

Sekta ya Afya kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kama vile shirika la MDH (Management and development for health)  ICAP  imeendelea kutekeleza mikakati ya Wizara ya Afya katika kukabiliana na ongezeko la maambukizi mapya ya VVU, ili kufikia malengo yaliyokusudiwa ambayo ni kutokomeza vifo vinavyotokana na VVU, kuondoa unyanyapaa kwa watu wanaoishi na VVU, na kutokuwa na maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI ifikikapo 2020. Na kwa awamu hii kuna mkakati 90,90,90. (Tisini ya kwanza ni asilimia ya wananchi wanaoishi na maambukizi wote wawe wamepimwa maambukizi ya Virusi vya UKIMWI,na kujua hali zao .Tisini ya pili ya wale waliogundulika na maambukizi ya VVU baadayakupimwa wawe wameanzishiwa dawa, tisini ya tatu wale walio kwenye dawa wawe na ufuasi mzuri wa dawa na kiwango cha maambukizi) (viral load) kiwe chini sana.

 

MAFANIKIO

  • Kuwepo kwa dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI katika vituo vyote vya huduma na tiba (CTC).
  • Kuongezeka Kwa wapimaji katika maeneo ya wagonjwa wa nje OPD  ILI kuinua kiwango cha upimaji kwa wateja na wagonjwa wote wanaoingia kupata huduma kituoni.  katika vituo vya Kabanga Zahanati, Kituo cha Afya Lukole na Kituo cha Afya Murusagamba na hospitali zote wamewekwa wapimaji 3-5 chini ya udhamini wa Shirika la MDH – Kagera. Mpaka sasa kazi nzuri inafanyika takwimu zimeongezeka..pia ufuatiliaji wa mtu mwenyewe na wenza wake kuhakikisha wamepimwa ili kujua hali zao na baadaye kuanza dawa za ART Mapema kabla ya kuzidiwa na VVU.
  • Tumepata mafunzo elekezi kupitia wadau wetu kuhusu jinsi ya kufanya usimamizi elekezi kwa kutumia mfumo wa kuingiza takwimu na jinsi ya kuchukua vipimo cha Viral load.
  • Kuongezeka kwa kiwango cha upimaji VVU kwa wakazi wa wilaya ya Ngara na hivyo kupata waathirika wengi wanaohitaji huduma ya kuanza dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI (ART).
  • Tumeongeza vituo vya CTC/option b na refill centers 5 kutoka 9 hadivituo 15 vinavyofadhiliwa na MDH.
  • Tumefanikiwa kufanya tohara kwa wanaume  zaidi ya 32097 kufikia june 2018 katika kutekeleza lengo la wilaya la mwaka 32097.ifikapo sept 2018
  • Tumefanikiwa  kuanza mkakati wa kuwa chambua kitaalamu wateja wote wana kuja kupima VVU katika baadhi ya vituo vya tiba na kutoa huduma ya upimaji kwa wale tu wanaositahili,kuepuka kupata hasara ya vitendanishi na kutumia muda mrefu kwa wasiostahili kupimwa kwa wakatihuo na hivyo kupata matokea tarajiwa ya kupima
  • Maambukizi yamepungua kutoka  asilimia 1 .0 kwenda 0.7’

CHANGAMOTO

  • Ushiriki duni wa wanaume katika swala zima la upimaji wa virus vya ukimwi kwa hiari
  • Uchache wa watoa huduma za wagonjwa nyumbani kwa ajili ya kufuatilia na kurejesha wateja wasiofika kliniki kama ilivyopangwa.
  • Upungufu wa watumishi kutokana na matotizo jumuishi ya kiutumishi
  • Kutokuwa na huduma ya kutoa elimu endelevu kudhibiti maambukizi ya magonjwa ya zinaa  na ukimwi katika mkusanyiko mkubwa  wa watuwalio katika mradi wa ujenzi wa umeme wa maji Rusumo na vijiji vinavyo zunguka mradi huo.

MIKAKATI

  • Kuendelea kufanya ziara za usimamizi elekezi katika vituo.
  • Kuimarisha huduma za wagonjwa majumbani (HBC) kwa lengo la kufuatilia watoro majumbani.
  • Kuongeza vituo vya kutolea huduma (CTC) sambamba na huduma ya mkoba.
  • Kuendelea kuhamasisha jamii juu ya umuhimu wa huduma ya tohara kwa mwanaume, kwa kushirikisha wadau mbalimbali walioko wilayani  na vyanzo vyetu vya fedha  katika vituo vya tiba na wataalam waliopo waliopata mafunzo.
  • Kuendelea na uhamasishaji wa jamii kupima maambukizi ya VVU katika vituo vya Afya  vilivyo karibu na makazi yao.  Na hasa wanaume.

Matangazo

  • TANGAZO LA TATHMINI YA UJUZI NA UZOEFU KATIKA WILAYA YA NGARA KUTOKA TEMBO NICKEL August 30, 2022
  • MREJESHO WA MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023 KWA KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO TAREHE 12 AGOSTI, 2022 September 23, 2022
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2022 HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA December 04, 2022
  • RIPOTI YA ATHARI ZA KIMAZINGIRA NA KIJAMII MRADI WA MAEGESHO YA MAGARI BENAKO December 01, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • WILAYA YA NGARA YANUNUA MAGARI KUTOKANA NA FEDHA ZA MAPATO YA NDANI

    March 17, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU BAJETI YA HALMASHAURI 2023/2024 NGARA KAGERA

    March 07, 2023
  • KAMATI YA USHAURI YA WILAYA (DCC) YAPITISHA RASIMU YA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    February 22, 2023
  • MHE RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT SAMIA SULUHU HASSAN ATOA PIKIPIKI KWA WATENDAJI WA KATA WILAYANI NGARA KAGERA.

    February 28, 2023
  • Tazama zote

Video

Moto Rusumo Agosti 2018
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa