• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

Livestock Services

Wananchi wa Ngara wanashughulika na ufugaji wa mifugo ya aina mabali mbali. Kuna ng’ombe kiasi cha 70,000. Baadhi ya wafugaji wanafungia ng’ombe ndani. Mfano wa Ngombe wanaofugiwa ndani ni kama Frisian chotara F1, F2 & F3 wa aina ya Boran. Wafugaji waliobaki wanafuga aina ya Zebu na Ankole ambao uzalishaji wao wa maziwa ni kati ya lita 1-3 kwa siku. Katika kilimo mchanganyiko wa Migomba-Kahawa wanayama wadogo kama mbuzi na kondoo hufugwa pamoja na ng’ombe wa maziwa. Maeneo ya nyanda za Chini Ng’ombe na mbuzi wanafugwa kwenye machugo huria. Samadi hutumika kama mbolea.

Ndikana kali, Ndigana baridi, Moyomaji, Mkojodamu ni magonjwa ya yaliyozoeleka. Ugonjwa wa Ndigana kali ndio unaouwa ng’ombe zaidi kuliko magonjwa mengine. Katika Misitu ya hifadhi kuna mbung’o wanaosababisha ugonjwa wa ndorobo(nagana) unaosababisha vifo vya ng’ombe pia. Milipuko ya ugonjwa wa Midomo na Miguu, Chambavu(koto), Mapele ngozi, hutokea pia na Chanjo dhidi ya magonjwa hayo hutumika kama njia ya kinga.

Aina ya wanyama wanaofugwa katika Wilaya ya Ngara ni kama ifuatavyo:

Fursa za Kiuchumi

  • Uwepo wa Ng’ombe koo safi ya asili na Ankole kiasi cha 70,000 na Mbuzi 190,450.
  • Uwepo wa Masoko ya Minada.
  • Uwepo wa Miundombinu ya Mifugo

Matangazo

  • TANGAZO KWA WATUMISHI AJIRA MPYA July 05, 2021
  • EMPLOYMENT OPPORTUNITIES AT NELSAP-CU October 08, 2021
  • Matokeo ya mitihani iliyofanyika 2017 January 30, 2018
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA - JKT June 04, 2019
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • NGARA YAPOKEA FEDHA ZA UTEKELEZAJI WA MIRADI INAYOENDELEA YA MPANGO WA MAENDELEO KWA USTAWI WA TAIFA NA MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO-19

    November 17, 2021
  • UWEZESHAJI NGAZI YA TAIFA TASAF III AWAMU YA PILI KATIKA HALMASHAURI YA NGARA

    March 03, 2021
  • ZIARA YA MKUU WA WILAYA NA MKURUGENZI MTENDAJI KUTEMBELEA UJENZI WA MADARASA KWA AJILI YA MAPOKEZI YA KIDATO CHA KWANZA 2021

    January 05, 2021
  • MKURUGENZI AWAAGIZA VIONGOZI WA KATA MPAKA VITONGOJI KUHIMIZA MATUMIZI BORA YA VYOO NA USAFI WA MAZINGIRA

    August 12, 2020
  • Tazama zote

Video

Moto Rusumo Agosti 2018
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa