• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

Fishing Services

HUDUMA YA UVUVI 

Hakuna shughuli kubwa ya uvuvi inayofanyika, ingawa kuna mito mikubwa miwili iitwayo Kagera na Ruvuvu. , Uvuvi  mdogo hufanyika kama njia ya kujikimu kimaisha. Samaki wa aina ya  Tilapia (Oreochromis niloticus) na Kambale (Clarius gariepinus)  wanafugwa katika mabwawa madogo ya ukubwa wa mita za mraba 200. Kuna mabwawa ya Samaki  59 ya kuchimba yanayoendeshwa na wakulima binafsi ama Vikundi vinavyowezeshwa na Mashirika yasiyo ya Kiserikali kama TCRS, TUMAINI FUND, and REDESO.

Halmashauri ya Ngara imeweka mpango wa kufufua Mabawa kwa kuyapanua na kujenga mapya ili kupata idadi kubwa ya samaki na  kuongeza kipato.

Fursa za Sekta ya Uvuvi

Sekta ya Uvuvi inatoa fursa za uwekezaji ili kuongeza usalama wa chakula kwa kaya na pato la Taifa kwa Ujumla . Fursa hizo zipo katika maeneo yafuatayo:

(1) Uwekezaji katika Mbwawa ya samaki madogo na makubwa.

(2) Uvuvi katika mito ya asili.

(3) Uzalishaji wa  mbegu bora ya samaki na chakula cha samaki..

 (4) Utengenezaji wa vyombo na vifaa  vya uvuvi  na mahitaji mengine katika Sekta ya Uvuvi.

Matangazo

  • TANGAZO LA TATHMINI YA UJUZI NA UZOEFU KATIKA WILAYA YA NGARA KUTOKA TEMBO NICKEL August 30, 2022
  • MREJESHO WA MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023 KWA KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO TAREHE 12 AGOSTI, 2022 September 23, 2022
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2022 HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA December 04, 2022
  • RIPOTI YA ATHARI ZA KIMAZINGIRA NA KIJAMII MRADI WA MAEGESHO YA MAGARI BENAKO December 01, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • WILAYA YA NGARA YANUNUA MAGARI KUTOKANA NA FEDHA ZA MAPATO YA NDANI

    March 17, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU BAJETI YA HALMASHAURI 2023/2024 NGARA KAGERA

    March 07, 2023
  • KAMATI YA USHAURI YA WILAYA (DCC) YAPITISHA RASIMU YA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    February 22, 2023
  • MHE RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT SAMIA SULUHU HASSAN ATOA PIKIPIKI KWA WATENDAJI WA KATA WILAYANI NGARA KAGERA.

    February 28, 2023
  • Tazama zote

Video

Moto Rusumo Agosti 2018
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa