• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

Land and natural resourses

SEKTA YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA.

Bw. Enock Mponzi
CHEO
MAWASILIANO




Afisa Ardhi na Maliasili (W) +255784501654
ardhi@ngaradc.go.tz

7.1     Misitu.

Wilaya ya Ngara inakadiriwa kuwa na eneo la misitu lipatalo hekta 105,000 . Misitu ya asili inachukua eneo lipatalo hekta 100,600 na misitu ya kupandwa ni hekta 4,400. Matumizi makubwa ya misitu hii ni kwa ajili ya matumizi ya kuni, nguzo za ujenzi na mbao.

Maeneo yaliyohifadhiwa kisheria ni kama ifuatavyo:-

1.    Msitu wa hifadhi Goyagoya   hekta 1,434.

2.    Pori la akiba Burigi (Upande wa Ngara )  hekta 13,500.

3.    Pori la akiba Kimisi  (Upande wa Ngara )  hekta 37,000.


7.2    Wanyamapori.

Sehemu ya mapori ya akiba ya Kimisi na Burigi iliyopo  ndani ya wilaya ya Ngara inao wanyama jamii ya swala, tembo, nyati, twiga na viboko hupatikana katika mapori hayo. Mapori haya ya akiba yanaweza kuwa kivutio kikubwa kwa watalii endapo miundo mbinu itaboreshwa. Je mamba wapo ngara


6.3    Ufugaji Nyuki.

Kutokana na kuwepo misitu mingi na uoto wa asili shughuli za ufugaji nyuki hufanyika katika baadhi ya maeneo  ya wilaya hii. Wilaya inakadiriwa kuwa na mizinga ya kisasa ipatayo 300 na mizinga ya kienyeji ipatayo 800. Maeneo yanayoongoza kwa ufugaji nyuki katika wilaya ya Ngara ni pamoja na kata za  Nyakisasa, Rulenge, Rusumo, Kirushya, Bugarama na Murusagamba.


7.4     Utalii.    

Wilaya inavyo vivutio kadhaa vya utalii ambavyo vikiendelezwa vinaweza kuongeza pato na kukuza uchumi wa wilaya. Vivutio muhimu ni kama ifuatavyo:-

1.    Maporomoko ya Rusumo.

2.    Mafiga matatu (Kasange)

3.    Nyumba ya Mtemi-Kanazi

4.    Mlima Shyunga  (Mita 2,100 toka usawa wa bahari)

Wilaya imeisha ainisha maeneo haya imeishatafuta wadau mbalimbali kwa ajili ya kuyatangaza na kuyaendeleza. Mdau aliyeonyesha nia ya kuendeleza mpaka sasa ni KAYODEA.




7.5    Ardhi.

Kulingana na tangazo la serikali G.N  No 176 la 1996  Sekta ya ardhi inaitambua miji ifuatayo kama maeneo yaliyoiva kuendelezwa kimji maeneo hayo ni kama ifuatavyo:-

Ngara mjini, Kabanga, Rulenge, Kasulo, Rusumo, Murusagamba, Mugoma, Djuruligwa na Kanazi. Miji hii ina viwanja vilivyopangwa kwa matumizi mbalimbali kama iuatavyo:-

1.    Viwanja vilivyopimwa 1,850

2.    Viwanja vilivyogawiwa 1,670

3.    Michoro ya mipango miji 12

4.    Wastani wa makusanyo ya kodi za ardhi ni Tshs. Milioni 8.0  kwa mwaka.

Wilaya ina jumla ya mashamba 13 yenye ukubwa wa hekta 4,500. Pia ziko taasisi za Usimamizi wa maendeleo ya ardhi na Mazingira katika ngazi mbalimbali kulingana na miongozo ya kisekta kama ifuatavyo.

1.    Mabaraza ya ardhi ya vijiji 68.

2.    Kamati za mazingira za vijiji 50.

Mipango ya matumizi bora ya ard

ZIARA YA WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO MAKAZI WILAYA YA NGARA MHE WILLIAM LUKUVI TAREHE 22.pdf

Idara ya Ardhi na Maliasili 2018.pdf


Matangazo

  • TANGAZO LA TATHMINI YA UJUZI NA UZOEFU KATIKA WILAYA YA NGARA KUTOKA TEMBO NICKEL August 30, 2022
  • MREJESHO WA MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023 KWA KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO TAREHE 12 AGOSTI, 2022 September 23, 2022
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2022 HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA December 04, 2022
  • RIPOTI YA ATHARI ZA KIMAZINGIRA NA KIJAMII MRADI WA MAEGESHO YA MAGARI BENAKO December 01, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • WILAYA YA NGARA YANUNUA MAGARI KUTOKANA NA FEDHA ZA MAPATO YA NDANI

    March 17, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA RASIMU BAJETI YA HALMASHAURI 2023/2024 NGARA KAGERA

    March 07, 2023
  • KAMATI YA USHAURI YA WILAYA (DCC) YAPITISHA RASIMU YA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    February 22, 2023
  • MHE RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT SAMIA SULUHU HASSAN ATOA PIKIPIKI KWA WATENDAJI WA KATA WILAYANI NGARA KAGERA.

    February 28, 2023
  • Tazama zote

Video

Moto Rusumo Agosti 2018
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa