- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Afisa Elimu Mkoa wa Kagera Ndg Michael Ligola akiwa na Afisa Taaluma Mkoa Bi Honoratha Kabunduguru amefanya kikao kazi katika Ukumbi wa Ngara Sekondari na Wakuu wa Shule, Walimu Wakuu , Walimu wa Taaluma Shule za Msingi na Sekondari pamoja na Maafisa Elimu kata.
Kikao kazi hicho kimehudhuliwa na Maafisa Elimu Msingi Ndg James Ling'hwa na Sekondari Ndg Zacharia Mkumbo, Maafisa taaluma Msingi na Sekondari na Maafisa Wengine Idara za Elimu.
Lengo la kikao likiwa ni kufuatilia mwenendo wa Taaluma na kuboresha usimamizi wa Taaluma ili kupandisha Ufaulu.
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa