• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

AFISA ELIMU MKOA MWL. LIGOLA AFANYA ZIARA WILAYANI NGARA

Wakati ilipowekwa: April 9th, 2024

NGARA LEO

Afisa Elimu Mkoa wa kagera Mwl Michael Ligola akiongozana na Maafisa Elimu taaluma Mkoa  Mwl Oscar Msabaha, Mwl. Simon Chibon na  Afisa Michezo Ndg Kepha Elias amefanya ziara  Wilayani Ngara

Lengo la ziara hiyo ufuatiliaji shuleni na kufanya Kikao kazi na Maafisa Elimu Msingi sekondari , TSC, Uthibiti ubora , Utamaduni michezo .Walimu Wakuu shule za Msingi, Maafisa Elimu Kata  na  walimu Wakuu shule za Msingi.

Afisa elimu mkoa Mwl Ligola ametembelea shule za msingi Ngara mjini, Murgwanza, Mumiterama na  shule za sekondari Murgwanza na   Mumiterama

aidha amepongeza ujenzi wa vyumba vya madarasa mazuri yaliyojengwa shule ya msingi Ngara mjini pia Mumiterama sekondari

Afisa Elimu elimu mkoa Mwl Michael Ligola baada ya ziara ya kutembelea shule za msingi na sekondari alifanya kikao kazi katika ukumbi wa Ngara sekondari uliopo Ngara mjini.

Washiriki wakiwa ni maafisa wote ngazi ya wilaya  elimu msingi, sekondari ,TSC, Uthibiti ubora na utamaduni  michezo.pamoja na walimu wakuu wa shule za msingi , maafisa elimu kata na wakuu wa shule.

Afisa elimu mkoa alisisitiza mkakati ifuatayo ya kuinua taaluma shuleni

  1. Fomu taarifa  ya ufuatiliaji shuleni kila Ijumaa iwasilishe ofisi za elimu.
  2. Madarasa ya 1 hadi 3 walimu wahakikishe wanapanda madarasa wakiwa wanajua KKK
  3. Walimu wakuu wajipange kuhakikisha ufundishaji shuleni unafanyika
  4. Siku za masomo kwa darasa la 7 na 4 wawe darasani saa 1.00 asbh
  5. Kutoa chakula shuleni
  6. Kamati za taaluma zikae  Kila wiki alhamis au ijumaa
  7. Shule zote ziwe na bendi na mchaka mchaka 
  8. Walimu kukamilisha muhtasari mapema


Afisa Elimu Mkoa Mwl Michael Ligola akiongea katika Kikao kazi kilichofanyika Ukumbi wa Ngara Sekondari.


Afisa Elimu Sekondari Mwl Enock Ntakisigaye akiwakaribisha viongozi  walioongozana na Afisa Elimu Mkoa wa kagera Mwl Michael Ligola.



Maafisa Elimu Kata , Wakuu wa shule na walimu Wakuu shule za Sekondari wakiwa kwenye Kikao kazi kilichofanyika Ukumbi wa Ngara sekondari.


Maafisa wa wilaya Kutoka Elimu Msingi , Sekondari, TSC, Kuthibiti Ubora wa shule na utamaduni michezo.


waliokaa mbele Maafisa Elimu Kata 22 Wilayani Ngara wakiwa kwenye Kikao kazi.





Afisa michezo Mkoa kagera alipotembelea kiwanja Cha michezo shule ya Msingi Ngara Mjini wakati wa ziara ya Afisa Elimu Mkoa Kutembelea shule hiyo.




Afisa elimu mkoa Mwl Michael Ligola akiongea na Wazazi shule ya Msingi Ngara mjini.

Ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa