- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
22/02/2025
Afisa Elimu Kata Mwl. Theonest Thadeo amewapa motisha walimu wake na kushiriki chakula cha Pamoja.
Ikiwa na kujipongeza kwa jitihada za kufuta Daraja sifuri ambapo Mwaka 2023 zilikuwepo sifuri 21 na mwaka 2024 Sifuri ni moja ya mwanafuzi aliyekua mtoro alijitokeza siku ya mtihani.
Aidha Mikakati iliyowekwa na kukubaliana ni kuondoa ziro 2025 na kupunguza daraja la nne kwa pamoja kushirikiana itawezekana alisema Afisa rlimu Kata hiyo.
Ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa