- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
15/03/2025
Balozi wa Tanzania nchini Burundi Mhe Balozi Gelasius Gaspar Byakanwa alifanya ziara ya kikazi Wilayani Ngara tarehe 15/3 -16/3/2025 akifuatana na Brig Gen Ntahena - Mwambata Jeshi pamoja na Ndg Mizungu Afisa mwandamizi wa Ubalozi - Bujumbura, Burundi.
Mhe Balozi Byakanwa amesisitiza kudumisha mahusiano mazuri yaliopo baina ya Tanzania na Burundi na kuhakikisha changamoto ndogo ndogo zinazoweza kujitokeza zinaondolewa kwa njia ya vikao vya ujirani mwema.
Pichani ni Mhe Balozi Gelasius Byakanwa akiwa na Mhe Col Mathias Julius Kahabi DC Ngara na Maafisa waandamizi wa Ubalozi huo Pamoja na Viongozi wa OSBP
Ngara Kazi inaendelea...
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa