• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

BARAZA LA MADIWANI ROBO YA PILI 2023/2024 LAFANYIKA WILAYANI NGARA

Wakati ilipowekwa: March 27th, 2024

NGARA LEO

Mkutano wa Baraza la Madiwani limefanyika katika Ukumbi wa Community Centre Ngara Mjini  mkutano huo umeongozwa na Mhe. Wilbard Bambara Mkiti wa Halmashauri ya Wilaya pia Ndg Josephat Sangatati kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya.

Mkutano huo humehudhuriwa na Makamu Mkiti wa Halmashauri ya Wilaya, Mhe. Adronizi Burindoli, Waheshimiwa Madiwani , Mkiti wa CCM Wilaya Cde. Vitaris Ndailagije katibu CCM Bi Anastazia Amasi Mwakilishi wa Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndg. Mathias Mugatha, kamati ya Usalama, Wataalam wote Kutoka Halmashauri.

 Maswali ya papo  Kwa papo yaliulizwa na Waheshimiwa Madiwani ambapo Mhe. Sitini Rugina aliuliza Kwa kuwa katika kipindi Cha robo ya pili. October - Desemba  2023/2024 kulikuwa na mvua za Elinino na mvua hizo ziliharibu Barabara za Muhweza, Mukarehe ,Remela, Mukibogoye na Murukatilo - Mukarehe kupitika Kwa shida, Lini Barabara hizo zitatengenezwa licha ya kwamba waliahidiwa  Barabara hizo zingetengenezwa katika kipindi hicho na kuwa zabuni ya utengenezaji imefunguliwa tarehe 21/2/2024 Swali hilo lilijibiwa na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya kuwa ni kweli Barabara hizo zilitangazwa Kwa ajili ya kupata mkandarasi Hadi kufikia tarehe 15/04/2024 Barabara hizo zitakuwa zimepata mkandarasi wa kuzitengeneza na kazi zitaanza.

Mhe safari Banigwa Diwani Kata ya mabawe aliuliza Mradi wa maji Kabanga - Mabawe  unaojengwa Kijiji Cha kumwuzuza utaanza kuhudumia lini wananchi na wanafunzi wa Mabawe Sekondari na Jamii yote ya kumwuzuza Swali hilo lilijibiwa na Meneja Ruwasa Kuwa Mradi wa maji Kabanga umeanza Kutoa huduma upo  kwenye muda wa matazamio utakaoisha Desemba 2024 Bomba kuu la kusafirisha maji limepita baadhi ya Maeneo ya Kijiji Cha kumwuzuza na Sasa Ruwasa inatafuta fedha za kusambaza maji kwenye Maeneo yaliyobaki katika Kijiji Cha kumwuzuza. Aidha Kwa shule ya sekondari Mabawe inashauriwa kuwekewa  miundombinu ya kuvuna maji ya mvua kama Mpango wa muda mfupi  wa kuondoa tatizo la upatikanaji wa maji Kwa wanafunzi. 

Mhe Yusuph katura  aliuliza madai ya fedha  za mzabuni Ndg Ally Suleimani zaidi ya Tsh 1,000,000 Kwa ajili ya ujenzi wa choo kituo Cha afya Lukole. Swali limejibiwa na Mkurugenzi Mtendaji  Wilaya kuwa kweli fundi alijenga vyoo kupitia Mradi wa Wash na pesa ziliisha kabla ya Mradi kukamilika kwani ni muda mrefu na uongozi wa kituo umebadilishwa  fundi huyo awasilishe viambatisho vya madai  yake. 

Mhe Evance Magambo Diwani Kata ya kibimba  alisema kwenye ziara ya Mkuu wa wilaya, na Mhe Mbunge wa Ngara walipokea kero mbalimbali miongoni mwa kero hizo ni pamoja na uchakavu wa majengo ya shule ya Msingi Ruganzo na kumutana shule hizi zinahitaji ukarabati mkubwa kwani zilianza mwaka 1955 na hazipo katika hali nzuri. Je lini Serikali itawekeza nguvu katika ukarabati  wa shule hizo, Swali lilijibiwa na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya  alisema  shule  hizo zinahitaji ukarabati mkubwa wa ujenzi wa Madarasa mapya. Ujenzi wa vyumba vipya katika shule kongwe unafanyika kulingana na Bajeti  ya Serikali. Kwa kuwa shule hizi zipo katika orodha ya shule kongwe za Wilaya tuendelee kusubiri utekelezaji Toka Serikali kuu. Aidha Mkurugenzi alitaja shule kongwe zilizonufaika ni Mursagamba, Bukiriri, Kanazi, Ngara Mjini, muyenzi na kanyinya zote za Msingi. Aidha Kwa Ngazi ya Halmashauri kupitia Bajeti Bajeti ya Mwaka 2024/2025 Kwa kutumia mapato ya Ndani shule za Kata ya kibimba ikiwemo  kumutana  imepangiwa matundu 7 ya vyoo.

Baada ya maswali ya papo Kwa papo zilipokelewa na kujadikiwa taarifa Kutoka Kwa wenyeviti  wa Kamati za kudumu za Halmashauri ambazo ni kamati ya Utawala na Mipango, kamati ya Kudhibiti UKIMWI (CMAC) , Kamati ya Elimu na Afya, kamati ya uchumi, ujenzi na Mazingira pia Taarifa ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo robo ya pili Kwa mwaka wa fedha 2023/2024 , Taarifa za kiutumishi.

Waheshimiwa Madiwani wakiwa kwenye Baraza lililofanyika tarehe 27/3/2024 katika Ukumbi wa Community Centre Ngara mjini.


Mkiti wa Halmashauri Mhe Wilbard Bambara akiwa na Makamu Mkiti Halmashauri Mhe Adronizi Burindoli katika mkutano wa Baraza.


Waheshimiwa Madiwani katika Baraza.


Mhe Erick kilamachum katika Baraza.


Waheshimiwa Madiwani katika Baraza lililofanyika Ukumbi wa Community Centre Ngara mjini.


Mhe Wilbard Bambara Mkiti wa Halmashauri ya Wilaya  akihitimisha katika mkutano wa Baraza la Madiwani.



ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU 2024/2025 WAFANYIKA UKUMBI WA COMMUNITY CENTRE NGARA MJINI

    May 07, 2025
  • MKUU WA MKOA MHE HAJAT FATMA ABUBAKARI MWASSA AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDEKEO WILAYA YA NGARA

    May 03, 2025
  • MHE HAJJAT FATMA MWASSA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO WILAYA YA NGARA

    May 02, 2025
  • MKUU WA MKOA MHE HAJAT FATMA MWASSA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA WAFANYAKAZI ZAFANA KIMKOA WILAYA YA NGARA

    May 01, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa