• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

BASHUNGWA AWANYOOSHEA KIDOLE VIONGOZI WAORUDISHA NYUMA MAENDELEO KAGERA.

Wakati ilipowekwa: December 24th, 2023

Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameendelea kuwanyooshea kidole baadhi ya Viongozi wanaochangia kurudisha nyuma maendeleo ya mkoa wa Kagera na kutoa wito kwa Wananchi wa mkoa huo kusimama kidete katika umoja kwa kuhakikisha wanabadilisha historia iliyopo katika mkoa.

Ameyasema hayo mjini Bukoba wakati hafla ya Chakula cha jioni ya “Ijuka Omuka” iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa Kagera, Hajjat Fatma Mwassa iliyolenga kuwakutanisha Wanakagera wanaoishi ndani na nje ya nchi.

“Nakushukuru Mkuu wa Mkoa kwa kuandaa jukwaa hili la kujikosoa na kujisahihisha. Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokuwa mkoa wa Kagera alituelekeza kufanya hili tunalolifanya leo la kujadili mustakabali wa mkoa wetu” - amesema Bashungwa.

Bashungwa ameeleza kuwa maendeleo ya mkoa wa Kagera yamekuwa yakirudishwa nyuma na baadhi ya viongozi na wanasiasa  ambao wamekuwa wakipambania maslahi yao binafsi na kukwamisha maendeleo ya mkoa.

“Viongozi wamekuwa wakija ndani ya mkoa wetu na kutoa nafasi ya kutusikiliza, lakini kuna baadhi ya viongozi wanatoa hoja binafsi na sio hoja za kuleta maendeleo katika mkoa, ikiwa ni pamoja na mambo yao binafsi na kesi zinazorudisha maendeleo yetu nyuma”- amesisitiza Bashungwa.

Aidha, Bashungwa amesema pamoja na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutoa fedha za kutekeleza miradi katika mkoa wa Kagera kama Ujenzi wa barabara ya njia nne, stendi ya kisasa na upanuzi wa bandari, bado kumekuwepo na viongozi wanaoendelea kukwamisha utekelezaji huo.

Ameeleza baadhi ya matukio yaliyochangia kudumaza maendeleo ya mkoa kiuchumi, kijamii na kisiasa ni pamoja na Vita, milipuko ya magojwa, majanga ya asili kama tetemeko na mabadiliko ya tabianchi.

Kadhalika, Bashungwa ameeleza kuwa kumekuwepo na tafiti zinazoendelea kuudidimiza mkoa wa Kagera kwa kuutafsiri Mkoa huo katika dhana isiyo sahihi na hali halisi iliyopo.

Kwa Upande wake, Mkuu wa Mkoa Kagera Fatma Mwassa amesema Mkoa huo hauwezi kuendelea bila ushirikiano kwa kupingana kwa kila jambo, kuwekeana figisu na mikingamo bali mkoa utafanikiwa kwa kuwa na umoja madhubuti.

Mhe Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajjat Fatma Mwassa  katika Hafla aliyoiandaa iliyowakutanisha Wana kagera.


Waziri wa Ujenzi Mhe. Inocenty Bashungwa akiongea na Wana Kagera.



Viongozi wa Madhehebu ya Dini  Pamoja na wageni Mbalimbali Wana kagera wakiwa katika hafla iliyoandaliwa na Mhe Hajjat Fatma Mwassa Mkuu wa Mkoa wa Kagera.






ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa