- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
23/01/2026
Mhe Wilbard Bambara Mkiti wa H/W ameongoza kikao cha kamati ya fedha Utawala na Mipango robo ya pili 2025/2026 kilichofanyika Ukumbi wa Halmashauri ambapo katibu Bi Jenifer Mapembe Mkuu wa idara ya Utawala na usimamizi wa rasilimali watu ( kaimu Mkurungenzi Halmashauri) na wajumbe waheshimiwa Madiwani pamoja na wataalam wa Halmashauri.
Kikao hicho kilipitia taarifa mbalimbali na kujadili yafuatayo,
1. Majumuisho ya ziara ya kamati kutembelea na kukagua jumla ya miradi 12
2. Taarifa ya fedha Mwezi Desemba -Robo ya pili 2025/2026
3. Taarifa ya utekekelezaji wa miradi ya Maendeleo robo ya pili
4. Taarifa ya manunuzi robo ya pili Robo ya pili 2025/2026
5. Taarifa ya kitengo cha Sheria
6. Taarifa ya Idara ya Utawala na usimamizi wa rasilimali watu Robo ya pili 2025/2026




www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa