• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

DARAJA LA JP MAGUFULI (KIGONGO-BUSISI) KUKUZA UCHUMI KANDA YA ZIWA

Wakati ilipowekwa: June 8th, 2025

Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega, amesema ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo - Busisi ) lenye urefu wa kilomita 3 utarahisisha huduma za usafiri na usafirishaji hivyo kukuza uchumi wa wananchi kanda ya Ziwa.

Ulega amesema hayo mkoani Mwanza leo Juni 8, 2025 wakati akielezea Mafainikio katika Sekta ya Ujenzi kwa kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Dkt. Samia ambapo amesema daraja hilo lina uwezo wa kupitisha magari zaidi ya elfu 20 kwa siku.

Ulega amebainisha kuwa wakati Mhe Rais Samia anaingia madarakani mwaka 2021 ujenzi wa daraja hilo ulikuwa umefikia asilimia 25 tu na sasa ujenzi huo umekamilika kwa asilimia 100.

Waziri Ulega ametaja mafanikio mengine yaliyofikiwa kuwa ni kuongezeka kwa mtandao wa barabara zinazohudumiwa na Wakala wa Barabara (TANROADS) kutoka kilometa 36,361.95 hadi kufikia kilometa 37,435.04 kutokana na barabara hizo kupandishwa hadhi na kuwa za Kitaifa.

Aidha, amesema katika kipindi hicho cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita Barabara zenye urefu wa kilometa 15,511.25 ziko katika hatua mbalimbali ya ujenzi.

Ulega amesisitiza kuwa katika kurahisisha huduma za usafiri na uchukuzi, Serikali imekamilisha ujenzi wa madaraja  makubwa nane (8) na mengine 12 yapo katika hatua mbalimbali za ujenzi nchini kote.

Kadhalika, Ulega amesema Serikali inaendelea na mkakati wa kupunguza msongamano wa magari katika miji mikubwa hapa nchini hususan Mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza na Mbeya ili kuhakikisha wafanyabiashara na wananchi wanafikia huduma kwa wakati na kupunguza gharama za uendeshaji wa magari kwa kukaa kwenye foleni kwa muda mrefu.

“Katika kujenga barabara tunaweka pia ulinzi wa  barabara hizo kwa kujenga mizani zitakazosimamia udhibiti wa magari ikiwemo kufunga mizani za kisasa zenye matumizia madogo ya binadamu, kufunga mizani za kielektroniki zinazopima magari yakiwa kwenye mwendo na kufunga mfumo wa ufutuatiliaji wa CCTV Camera katika vituo vyote vya mizani ifikapo 2027”, ameeleza Ulega.

www.ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • MAJALIWA AZINDUA MITAMBO YA SHILINGI BILIONI 12.4 KWA AJILI YA WACHIMBAJI WADOGO

    June 26, 2025
  • MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA YAFANYIKA KITAIFA DODOMA

    June 17, 2025
  • RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA UFUNGUZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI (KIGONGO - BUSISI)

    June 19, 2025
  • KAGERA YAINGIA ROBO FAINALI MICHEZO YA UMITASHUMTA

    June 15, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa