- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
13/05/2025
Mhe Col Mathias Julius Ķahabi Mkuu wa Wilaya ya Ngara ametembelea miradi mbalimbàli Ambayo itatembelewa na Mwenge wa Uhuru .
Mhe Col Kahabi katika ziara hiyo alifuatana na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya Ndg Emmanuely Kulwa, kamati ya Usalama, Wataalam wa Halmashauri, Meneja RUWASA na Meneja TARURA.
Miradi iliyotembelewa na kukaguliwa
Mhe Col. Mathias J Kahabi amepongeza miradi ni Mizuri pia kwa baadhi ya miradi ametoa maelekezo ya kufanyiwa kazi. Aidha Amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassani kwa kutoa fedha nyingi za miradi ya maendeleo katika sekta mbalimbali wilaya ya Ngara

Mhe Col Mathias J kahabi Alipotembelea na kukagua mradi wa Zahanati ya Rulenge akiwa na kaimu Mkurugenzi Mtendaji wilaya ,kamati ya usalama na wataam

Mhe Col kahabi akiwa ndani ya Zahanati ya Rulenge na Mhe Diwani kata hiyo

Mhe Col Kahabi akikagua Daraja kumwendo kata ya Mbuba

Daraja la kumwendo akipokea taarifa ya mradi huo

Mhe Col kahabi Mkuu wa wilaya alipotembelea mradi wa uwekezaji shamba la vijana kilimo cha Parachichi hekari 28 Ibuga kata ya Kabanga

Mradi wa uwekezaji vijana

Taarifa ya ujenzi wa shule ya Mchepuo wa kiingereza unaojengwa kwa fedha za Mapato ya Ndani Nakatunga Ngara mjini

Mhe Col Kahabi Mkuu wa Wilaya wakiwa kwenye mradi wa ujenzi shule ya kiingereza ya Halmashauri. Inayojengwa Nakatunga Ngara mjini

Mhe Col Kahabi akiwa kwenye mradi wa ujenzi wa ukumbi wa kisasa na fremu za maduka Ngara mjini

Mhe Col kahabi alipotembelea mradi wa ujenzi wa ukumbi na frem za maduka akiwa na ndg Emmanuel kulwa kny Mkurugenzi Mtendaji Wilaya

Mhe Col Kahabi akiwa na Ndg Emmanuely kulwa kny Mkurugenzi Mtendaji wilaya pamoja na Bi Hatujuani Ally Lukali katibu tawala wilaya wakiwa kwenye mradi wa ujanzi Shule mpya ya Amali kasharazi kata ya Rusumo

Eng Simon Mtuka akitoa maelezo ya Mradi kwa Mhe Col Mathias kahabi Mkuu wa wilaya Ngara

www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa