- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA LEO
21/03/2025
Mhe Col. Mathias Julius Kahabi Mkuu wa Wilaya Ngara amefanya kikao Ofisi kwake .
Kikao hicho kimehudhuliwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya Ndg Joaephat Sangatati, baadhi kamati ya Usalama Wilaya, kaimu katibu Tawala Wilaya Ndg Jawad Yusuph, Maafisa elimu Msingi na Sekondari na Maafisa elimu taaluma Wilaya Msingi na Sekondari.
Lengo la kikao cha kila ijumaa ni kupata mwenendo wa Masuala ya Elimu ili kupandisha Ufaulu shule za Msingi na Sekondari.
Mhe Col Mathias Kahabi Dc Ngara akiwa kwenye kikao kazi cha Masuala ya kielimu
Kaimu Afisa Elimu.Sekondari akiwasilisha Taarifa ya Elimu msingi na Sekondari ya wiki
Ngara kazi inaendelea
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa