• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

DC KAHABI AFANYA KIKAO NA VIONGOZI MBALIMBALI PAMOJA NA WAKANDARASI WANAOJENGA NA KUKARABATI NYUMBA ZILIZOATHIRIWA NA BLASTING WAKATI WA UTEKELEZAJI MRADI WA UMEME - RUSUMO

Wakati ilipowekwa: February 8th, 2024

NGARA LEO

Mkuu wa Wilaya ya Ngara Mhe Col.Mathias J.kahabi amefanya Kikao na viongozi wa NELSAP, viongozi Toka  Kijiji Cha Rusumo,   Afisa Tarafa na Kamati ya BMC.

Viongozi wengine walishiriki Kikao hicho ni Katibu Tawala Wilaya , DSO, PCCB,Mhandisi Mshauri, Afisa ardhi Wilaya.pia Wakandarasi wanaojenga na kukarabati Nyumba zilizoathiriwa na Blasting wakati wa utekelezaji wa Mradi wa umeme Rusumo.

Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Radio Kwizera uliopo Ngara Mjini.

Lengo la kikao Ikiwa ni kujadili changamoto mbalimbali zilizojitokeza katika kazi ya ujenzi na Ukarabati wa nyumba zilizoathiriwa wakati wa Mradi wa umeme Rusumo Wilayani Ngara.

Ukarabati na ujenzi utahusisha majengo 540  na utagharimu zaidi ya Tsh Bilion 7.5

Aidha imeelezwa kuwa tayari Malipo mbalimbali yameanza kutolewa Kwa wananchi waliotakiwa kupisha Ukarabati.

Baada ya majadiliano Mhe Col Mathias Kahabi Mkuu wa wilaya ya Ngara ameagiza yafuatayo.

1. Ushirikishwaji wa pamoja Kila linalofanyika

2. kamati ya BMC wapewe ushirikiano

3. Changamoto zote zichukuluwe na kutatuliwa

4. wanufaika waoneshwe  michoro ya majengo Yao kuwa wazi.

5. kasi ya ujenzi iongezeke Ili kazi ikamilike Kwa wakati.

6. Wakandarasi wawepo eneo la ujenzi (site) muda wote 

7. Imeundwa kamati ya ufuatiliaji wa waathirika ambao nyumba zao hazikufanyiwa Tathmini  baada ya kamati kuwasilisha taarifa Kwa Mhe Mkuu wa wilaya Kwa kushirikiana na NELSAP Atafanya Mkutano na Wananchi wote wa Kijiji Cha Rusumo Ili Kutoa Mrejesho wa Maendeleo  ya kazi na jinsi changamoto ilivyotatuliwa.

8. Viongozi wa Serikali ,Chama wanasimama upande wa wananchi Ili kupata haki zao.

Mkuu wa wilaya Mhe Col Mathias J Kahabi akiwa na katibu Tawala Bi Hatujuani A.Lukali wakiwa kwenye Kikao kilichofanyika Ukumbi wa Radio Kwizera.


Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Kikao kilichofanyika Ukumbi wa Radio kwizera iliopo Ngara Mjini.


Viongozi wakiendelea na Kikao.




ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa