- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkuu wa Wilaya Mhe Col Mathias J. Kahabi amefanya ziara ya Kutembelea na kukagua Miradi ya Maendelea Wilayani Ngara ambapo amefuatana na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya, Mwakilishi wa OCD,Mwakilishi wa DSO Katibu CCM Bi Anastazia Amasi, Mkiti wa Jumuiya ya Wazazi Cde. Chrispine Kamugisha, katibu wa Wazazi Wilaya , Cde. Abdallah Kirobi, Wataalam wa Halmashauri na Afisa Tarafa Nyamiaga Ndg Jawadu Yusuph.
Mhe Col Kahabi na timu aliyefuatana nayo wametembelea na kukagua Miradi ifuatavyo
Mkuu wa Wilaya Mhe Col Kahabi amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa kuendelea kuleta fedha za Miradi ya Maendeleo Wilayani Ngara.
Baada ya ziara kimefanyika Kikao Cha majumuisho Kwa Miradi waliyoipitia.
Mhe Col. Mathias J. Kahabi Mkuu wa wilaya Ngara akiwa na kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Bi Sabra Mwankenja, katibu CCM Bi Anastazia Amasi, Mkiti wa Wazazi Wilaya Cde Christine Kamugisha,Katibu Wazazi Cde Abdalah kirobi, Mwakilishi wa OCD, Mwakilishi wa DSO, Wataam Kutoka Halmashauri.
Mhe Col.Mathias J.Kahabi Dc Ngara akisikikiza taarifa ya ujenzi wa Jengo la Utawala Makao Makuu Halmashauri uliopo Ngara Mjini.
Mhe Col Mathias J. Kahabi akiwa na timu aliyefuatana nayo Kutembelea na kukagua ujenzi wa hospitali ya wilaya iliyopo Mbuba.
Mhe. Col Kahabi akiwa na wataalam wa Halmashauri kaimu Afisa mipango Ndg Boniface Mwakikuti, Eng Sanga, Afisa ugavi Raymond Leonard wakikagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya iliyopo Mbuba.
Mhe. Col Kahabi Dc Ngara akiwa na katibu wa CCM Wilaya Bi Anastasia Amasi, Mkiti Jumuiya ya Wazazi Cde Chrispine kamugisha, kaimu Afisa mipango Ndg Boniface Mwakikuti wakiwa chuo cha Wananchi Remela kukagua shughuli za Tehama,ushonaji na uashi.
Mhe col Kahabi wakikagua shughuli za ushonaji chuo cha Maendeleo ya wananchi Ngara ( Remela FDC).
Col Mathias Julius Kahabi Dc Ngara alipotembelea na kukagua mradi wa maji Kabanga.
Tenki la maji lenye ujazo wa Lita 230,000.
Vijana chuo cha Maendeleo ya wananchi Ngara (Remela FDC).
Ujenzi wa hospital ya Wilaya iliyopo Mbuba.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa