• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

DC KANALI KAHABI AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MAENDELEO YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA LADP II - NGARA KAGERA.

Wakati ilipowekwa: February 20th, 2024

NGARA LEO

Mkuu wa wilaya ya Ngara Mhe Col Mathias J. Kahabi amefanya ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya utekelezaji  wa miradi ya LADP II  Wilayani Ngara 

Mkuu wa wilaya Mhe. Kahabi alifuatana na  Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya, kamati ya usalama ,Mratibu wa LADP, Viongozi wengine Toka LADP Mhandisi wa ujenzi pamoja na viongozi wa Kijiji / Kata husika.

Aidha Mhe Mkuu wa wilaya  Col Mathias Kahabi na timu ya viongozi aliyoambatana wametembelea  kukagua kuona Maendeleo ya utekelezaji wa Miradi ya LADP II ambayo ni :-

  1. Ujenzi wa soko la kimkakati la kahaza lililopo Kijiji Cha Rusumo Kata ya Rusumo mkandarasi akiwa Armstrong International ambapo gharama ya Mradi ni Tsh 2,517,833,023 ambapo gharama zilizolipwa ni Tsh 786,157,997.40  kiasi kilichobaki Tsh 1,731,675.025 asilimia ya utekelezaji 38%.
  2. Ujenzi Jengo  la utawala Makao Makuu ya Halmashauri lenye Ghorofa  Moja lililopo Ngara Mjini Mkandarasi akiwa Home  Africa Investment corporation Limited ambapo gharama ya Mradi ni Tsh. 3,599,127,670.69, gharama zilizoishalipwa ni Tsh 1,000,252,693/= kiasi kilichobaki ni Tsh 2,598,874,977/=  mkandarasi yupo katika hatua ya kufunga maboksi na kumwaga zege la nguzo mlalo ,Jamvi la juu pamoja na nondo zake. Kasi ni nzuri ambapo asilimia ya Mradi ni 46%.
  3. Ujenzi wa Bweni , Bwaro Jiko la chakula  na Jengo la utawala Shule ya Sekondari Ngara high Kata ya kasulo akiwa Mkandarasi Gesap Engineering Group ambapo Gharama za Mradi ni Tsh. 1,287,528,500/= ,Gharama zilizolipwa Tsh. 438,176,053.70/= kiasi kilichobaki Tsh. 848,352,446/= Hatua iliyofikiwa ni  kumwaga zege la nguzo wima na mlalo,za juu  pamoja na nondo zake,kwenye Bweni kenchi za paa. Kasi imepungua Kwa sababu ya kutokuwepo Kwa mchanga na kokoto za kutosha. Mradi upo asilimia 55.6%. Aidha Mhe Mkuu wa Wilaya amemwagiza mkandarasi vifaa hivyo  vilete haraka Ili Kasi ya ujenzi iendelea.

Mhe Col Mathias Kahabi  amemshukuru na kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa za kuwaletea wananchi wa Ngara Miradi ya maendelea kupitia  sekta Mbalimbali.


















Bonyeza hapa kuangalia zaidi.

Ziara ya DC Ngara kukagua Maendeleo ya Miradi ya LADP II 17.022023.pdf

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa