- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Leo Mkuu wa wilaya ya Ngara Mhe Col. Mathias Julius Kahabi amekabidhi zawadi ya fedha taslimu Tsh 50,000/ Mtendaji wa Kata ya Kanazi aliyewakilisha Mtendaji Rulenge Bi Grace Makame ( Mamlaka ya mji Mdogo wa Rulenge) Kwa kufanya usafi wa mazingira vizuri Kwa mwezi February 2024
Mhe Col. Kahabi amekabidhi zawadi ambayo aliahidi Kata itakayofanya usafi vizuri wilayani Ngara itapata zawadi ya fedha taslimu.
Amekabidhi zawadi ya fedha taslimu Mkuu wa wilaya Mhe Col Kahabi Akiwa na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg. Solomon Kimilike pamoja na kamati ya *usalama Wilaya.
Aidha zoezi la usafi ni endelevu Wilayani Ngara na Sasa Wilaya inapendeza Kwa mji kuwa safi na unang'ara.
Mhe Col Mathias J Kahabi akiwa anataka kukabidhi fedha taslimu Tsh 50,000/ ambapo kulia ni Ndg Solomon Kimilike Mkurugenzi Mtendaji Wilaya.
Mhe Col. Kahabi Mkuu wa wilaya ya Ngara akikabidhi Mtendaji zawadi ya ushindi wa usafi Kwa mwezi February akiwa na Ndg Kimilike Mkurugenzi Mtendaji Wilaya pamoja na kamati ya usalama Wilaya.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa