- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
14/03/2025
Mhe Mathias J Kahabi DC Ngara amefanya kikao na Wakuu wa shule za sekondari Ambazo hawakufanya vizuri katika mtihani wa kidato cha nne 2024
Kikao hicho kimefanyika ukumbi wa Dc na kimehudhuliwa na kamati ya usalama wilaya , kaimu Afisa Elimu. Ndg Zacharia Mkumbo Afisa Elimu Sekondari, Ndg James Ling'hwa Afisa Elimu Msingi, na Maafisa Elimu taaluma Msingi na Sekondari.
Aidha yamejadiliwa mambo mbalimbali mikakati ya kuinua taaluma katika shule hizo.
Col Kahabi Dc Ngara amesisitiza kusimamia kikamilifu mikakati ya kuinua ufaulu Mkoa,Wilaya na Shule.
Kazi inaendelea Ngara
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa