- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
12/03/2025
Mhe.Col Mathias kahabi DC Ngara amefanya ziara ya kutembelea Miradi ya Maendeleo kwa fedha za Mapato ya ndani (Miradi ya Ujenzi wa ukumbi [ Ngara garden ] na ujenzi wa shule ya Mchepuo wa kingereza.)
Pamoja na miradi ya LADP
Aidha Mhe Col kahabi Amempongeza Mhe Dkt Samia Suluhu Hassani kwa kuleta fedha za miradi katika sekta mbalimbali za afya,Elimu ,Maji ,Barabara .
Katika ziara hiyo Mhe Col Mathias J Kahabi aliongozana na kamati ya usalama (W) Bi Jasmini Abas - Kaimu afisa Mipango, Lenny Sanga - kaimu Mhandisi, Asifiwe Gwihangwe-Mratibu LADP Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ngara.
Mhe Col Mathias J kahabi DC Ngara akiwa katika picha ya pamoja kwenye Jengo la utawala makao makuu Halmashauri ya wilaya Ngara.
kazi inaendelea
Ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa