- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Leo tarehe 24/11/2024, Mhe Col Mathias Julius Kahabi DC Ngara amesaini Majendwali ya fidia Mradi wa Umeme Nyakanazi kwenda kwenye Mradi mkubwa wa Kabanga Tembo Nickel.
Zoezi la kusaini Majedwali hayo lilitanguliwa na zoezi la kuwaonyesha wananchi fidia zao uthamini wa mali za wananachi wanaoguswa na mradi huo wa umeme, zoezi ambalo limekamilika hivi karibuni.
Kwenye mradi mzima kuna jumla ya wananchi 873 walioguswa ambapo fidia yake ni Tshs 2.9 billion. Kwa upande wa Wilaya ya Biharamulo Kata za Lusahunga na Nyakahura ndio zimeguswa. Na kwa upande wa Wilaya ya Ngara kuna jumla ya Kata Saba (7).
Aidha, kwa Mradi mzima jumla ya Vitongoji 32, Vijiji 15, Mitaa 2, na Kata 9 ndio zimeguswa kwa Biharamulo na Ngara.
Ngara Kazi inaendelea.....
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa