• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

DC NGARA ATEMBELEA KUKAGUA UWANJA WA MICHEZO REMELA-NGARA

Wakati ilipowekwa: February 14th, 2024

Mkandarasi Asimamishwa Kazi na Kutakiwa aeleze Changamoto za Kuchelewa Mradi Kukamilika.

Tarehe 09/02/2024, Mhe Col Mathias Julius Kahabi Mkuu wa Wilaya ya  Ngara akifuatana na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg. Enock Ntakisigaye, Kamati ya Usalama ya Wilaya, Mhe Diwani na Mtendaji wa Kata ya Kanazi, Viongozi wa LADP pamoja na Uongozi wa Chuo Cha Maendeleo ya Jamii Remela walifanya Ukaguzi wa uwanja wa Michezo Remela ambao unaendelea kufanyiwa Maboresho kwa kupanda  nyasi pamoja na maboresho mengine kuzunguka uwanja huo.

Baada ya ukaguzi huo imebainika kuwa Mkandarasi anayetekeleza mradi huo ameweka msimamizi ambaye hata BOQ hana na hajui lolote.

Aidha, msimamizi huyo baada ya kubainika kasoro nyingi katika Utekelezaji wa mradi.

 Mhe Mkuu wa Wilaya Col Kahabi amemwagiza asimame kuendelea na usimamizi hadi Mkandarasi anayeishi Mwanza atakapofika Wilayani Ngara tarehe 12/02/2024 kwa ajili ya kujibu hoja na changamoto mbalimbali zilizobainika katika mradi huo.

 Mradi huo wa upandaji Nyasi unatekelezwa kwa gharama ya Tsh Milioni 23 kulingana na Mkataba.

Mhe Mkuu wa Wilaya Col Mathias J Kahabi akiwa na timu aliyoambatana nayo  wakikagua uwanja wa michezo Uliopo Remela kata ya kanazi wilayani Ngara.


Mhe Mkuu wa Wilaya akiwa na viongozi aliyefuatana nao kukagua uwanja wa michezo.

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • MAJALIWA AZINDUA MITAMBO YA SHILINGI BILIONI 12.4 KWA AJILI YA WACHIMBAJI WADOGO

    June 26, 2025
  • MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA YAFANYIKA KITAIFA DODOMA

    June 17, 2025
  • RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA UFUNGUZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI (KIGONGO - BUSISI)

    June 19, 2025
  • KAGERA YAINGIA ROBO FAINALI MICHEZO YA UMITASHUMTA

    June 15, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa