- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Leo tarehe 23/7/2025, Mhe Col Mathias Julius Kahabi DC Ngara amefanya ziara ya kushtukiza katika mpaka wa Tanzania na Burundi, Kabanga OSBP.
Lengo la ziara hiyo ilikuwa kupata taarifa ya shughuli za ukusanyaji mapato katika mpaka huo, kusikiliza changamoto zilizopo na pia kukagua usafi wa mazingira yanayozunguka mpaka.
Border Manager Kabanga OSBP alitoa maelezo ya kina kumhakikishia DC Ngara kwamba wataendelea kukusanya mapato kwa weledi wa hali ya juu na kwamba hakuna mtu atakayekwepa kulipa mapato halali ya Serikali kwa njia rasmi zilizopo kisheria.
Aidha, amesema yeye Border Manager na taasisi zote za Serikali zilizopo mpakani hapo watahakikisha wanadumisha mahusiano mazuri yaliyopo baina yetu na nchi jirani ya Burundi.
Ngara kazi inaendelea.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa