- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
DC Ngara Mhe Col Mathias Julius Kahabi anapenda kuwashukuru na kuwapongeza sana Watendaji wa Kata na Vijiji wote walioshiriki shughuli za usafi siku ya Alhamis tarehe 24/7/2025 na kuwaomba waendelee na Moyo huo wa kusimamia vema usafi katika maeneo yao pamoja na majukumu mbalimbali ya kiutendaji katika Kata na Vijiji vyao.
Kwa namna ya pekee kabisa Mhe Col Mathias Kahabi anawapongeza Watendaji wa Kata na Vijiji wafuatao ambao kwa kutambua umuhimu na uzito wa shughuli hii ya usafi waliweza kusimamia vema shughuli za usafi .
Watendaji hao ni hawa wafuatao;-
WATENDAJI WA KATA;-
1.KASULO
2.KIBOGORA
3.NYAMIAGA
4.RUSUMO
5.NTOBEYE
6.MABAWE
7.NGARA MJINI
8.RULENGE
9.KABANGA
10.MURUSAGAMBA
11.KANAZI
12.KEZA
13.MUGOMA
WATENDAJI WA VIJIJI;-
1.KANAZI
2.MUKAREHE
3.RWAKAREMELA
4.KANYINYA
5.KIGINA
6.NTOBEYE
7.CHIVU
8.MUGOMA
9.KEZA
10.NTANGA
11.MURUSAGAMBA
www ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa