- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
25/04/2025
Mhe Col Mathias Julius Kahabi DC Ngara amefanya ukaguzi wa kushtukiza katika Uwanja wa Michezo Lemera na kurishishwa na maboresho yanayoendelea katika uwanja huo ikiwemo upandaji wa Nyasi, kusawazisha(levelling), kutengeneza drainage za maji, kukarabati viwanja vya ,Netball na Volleyball.
Mhe. Col Kahabi Akiongea na site Eng toka H/W ya Ngara ndg Gerald Pamoja na Mkandarasi wa Ujenzi huo ndg Derick wamesema maboresho yatakamilika mapema iwezekanavyo na kuanza kutumika mara moja.
Aidha, Mhe Col Kahabi DC Ngara amempongeza sana Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara Ndg Solomon Kimilike na timu yake ya Watalaam kusimamia vema upatikanaji wa fedha zaidi ya Million 20 kupitia LADP - Nelsap ambazo zinafanya ukamilishaji wa Miundombinu Muhimu katika uwanja.
Mhe Col Mathias Julius Kahabi akiwa na Mhandisi kutoka Halmashauri ya Wilaya pamoja na Mkandarasi Bw Derick
Ngara Kazi Inaendelea........
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa