- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo 08 Januari 2026, anazungumza na Wamachinga pamoja na madereva wa pikipiki na bajaji za kubeba abiria katika kongamano la mwaka linafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.
Kongamano hilo limewakutanisha wadau wakuu wa sekta ya wamachinga na usafirishaji wa pikipiki na bajaji, kwa lengo la kujadili na kutafakari mustakabali wa sekta hizi katika mchango wake kwa maendeleo ya jamii na uchumi wa Taifa.



www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa