• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

GARI LA MITAMBO YA KUCHIMBA VISIMA VYA MAJI LAFIKA NGARA.

Wakati ilipowekwa: October 23rd, 2023

Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro anawajulisha Wananchi wa Jimbo la Ngara kuwa ahadi yake ya kuhakikisha Wananchi wa Ngara wanapata huduma ya Maji safi inaendelea kutekelezeka.

Mnamo tarehe 22/10/2023 mitambo ya kuchimba visima virefu vya maji imefika katika Kijiji cha Mkalinzi ili kuwachimbia wananchi na wakazi wa hapo kisima cha maji.

Vile vile Mkandarasi anayejenga Mradi wa maji wa Kabanga yupo anafunga pump ya maji kwaajili ya kufanya majaribio ya kusukuma maji. Mradi huu unatarajia kumaliza kero ya Maji kwa Wananchi wa Kabanga pamoja na maeneo ya Kumuzuza, Kata ya Mabawe.

Upande wa Kasange, Kanyinya, Kumubuga, Rusumo, Kihinga nako kuna wakandarasi ambao wapo kwenye hatua za mwishoni za kukamilisha Miradi ya Maji na baadhi ya maeneo Miradi imekwishaanza kufanya kazi.

Bugarama Mradi umekamilika sambamba na Kanazi na Kabalenzi. Vile vile Uchimbaji wa kisima kirefu Murusagamba umekamilika kwa asilimia mia moja na kazi iliyobakia ni kujenga kisima hicho na kukiunganisha kwenye njia ya kusambaza Maji safi kwa Wananchi.

Kwa upande wa Katerere, Mhe. Mbunge ametoa fedha yake Binafsi ili kununua pump, nyaya, Tank na Bomba za kusambaza maji ya kisima cha Kitongoji cha Katerere wakati ambapo Serikali inaendelea na mchakato wa kumpata mkandarasi wa kujenga mradi mkubwa wa Maji wa Katerere.

Hivi karibuni NGUWASA ilisaini mkataba na Kampuni ya Kuchimba Visima vikubwa viwili ili kuongeza uzalishaji wa Majisafi Ngara mjini kama ambavyo Mhe. Mbunge aliahidi kwenye mikutano mbali mbali.

Mhe. Mbunge anaendelea kuishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayo ongozwa na Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa fedha nyingi za kutekeleza Miradi mbalimbali kwa Wananchi. Vile vile anawashukuru Watendaji Wakuu wa Serikali Wilayani Ngara pamoja ma Madiwani ambao wanafanya kazi kubwa ya  kuwasemea wananchi.

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa