• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

Hakuna Mgonjwa wa Ebola Nchini Tanzania, Mh. Umi Mwalimu

Wakati ilipowekwa: August 28th, 2018

“Niwatoe wasiwasi watanzania wote kwamba hakuna mtu, ambaye amethibitika kuwa na ugonjwa wa ebola ndani ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.” alithibitisha Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Umi Mwalimu wakati alipofanyaziara katika mpaka wa Tanzania na Rwanda Rusumo.

Amesema kwamba kila mgonjwa anayeigia nchini Tanzania, lazima apimwe afya yake kwani mgonjwa wa ebola akiruhusiwa kuingia nchini; Tanzania itakuwa katika hatari ya kupata maambukizi hatari ya ebola.

“Nimefanya ziara katika mpaka wa Tanzania na Rwanda, Rusumo, ili kuangalia utayari wa mkoa wa Kagera katika kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa Ebola, kama nilivyotoa taarifa wiki iliyopita, kwamba mlipuko wa ugonjwa wa ebola nchini Kongo unaiweka Tanzania katika hatari ya kupata wagonjwa huo.” alisema Mh. Mwalimu.

Alielekeza kwamba wakati wasafiri wanaopita katika mipaka rasmi wanadhibitiwa, lazima kuwepo makusudi ya kudhibiti changamoto ya wasafiri wanaopita njia za panya hasa, ambao wanatokea nchini Burundi.

Iliamuliwa kwamba kila wilaya ya mkoa wa Kagera hasa mpakani mwa Burundi, wahakikishe kunakuwa na zahanati iliyotengwa mahsusi, kwa ajili ya kuwapokea wagonjwa watakathibitika na kuhisiwa kuwa na ugonjwa wa ebola.

Wagonjwa watakaohitaji huduma zaidi katika mkoa wa Kagera, watapelekwa katika wilaya ya  Karagwe kwa ajili ya matibabu zaidi, na kwamba si wagonjwa wote watapelekwa kutibiwa Karagwe.

Aidha, amesema kwamba kuwepo kwa ugonjwa wa ebola nchini, kunaweza kukwamisha mambo mengi aliyoyataja kuwa ni kusimama kwa biashara, kufutwa kwa safari za ndege na hata kudorola kwa uchumi wa nchi.

“Tumeteua maabara za Bugando, KCMC na hospitali ya taifa ya Muhimbili zitumike katika kupima watu wanohisiwa na kuthtibitika kuwa na ugonjwa wa ebola, na kwamba sampuli za wagonjwa zitachukuliwa na kufanyiwa uchunguzi katika maabara hizo.” alisema Mh. Mwalimu.

Wananchi wa vijiji vinavyopokea watu kutoka nchi jirani wahakikishe, wanafuata taratibu za uhamiaji; huku akisisitiza kwamba mtu akishaingia nchini akathibitika kuwa na dalili za ugonjwa wa ebola apewe huduma ya afya mara moja.

Matangazo

  • TANGAZO LA TATHMINI YA UJUZI NA UZOEFU KATIKA WILAYA YA NGARA KUTOKA TEMBO NICKEL August 30, 2022
  • MREJESHO WA MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023 KWA KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO TAREHE 12 AGOSTI, 2022 September 23, 2022
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2022 HALMASHAURI YA WILAYA YA NGARA December 04, 2022
  • RIPOTI YA ATHARI ZA KIMAZINGIRA NA KIJAMII MRADI WA MAEGESHO YA MAGARI BENAKO December 01, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • KONGAMANO LA MIAKA 62 YA UHURU WA TANZANIA BARA LAFANYIKA NA UCHANGIAJI DAMU WILAYANI NGARA.

    December 09, 2023
  • MATEMBEZI YA KILOMETA TANO IKIWA NI WIKI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 62 YA UHURU WA TANZANIA BARA YAKOINGOZWA NA MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA NDG SOLOMON KIMILIKE AKIWA NA KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA NDG JAWADU YUSUPH

    December 09, 2023
  • MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA NDG SOLOMON KIMILIKE ALIONGOZA MATEMBEZI YA KILOMETA 5.

    December 08, 2023
  • MATEMBEZI YA KM 5 WIKI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 62 YA UHURU WA TANZANIA BARA YAFANYIKA WILAYANI NGARA- KAGERA.

    December 08, 2023
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa