• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

HALMASHAURI YA NGARA YAENDELEA KUTOA NA KUBORESHA HUDUMA ZA LISHE

Wakati ilipowekwa: July 20th, 2019

Halmashauri ya Wilaya ya Ngara ikishirikiana na wadau mbalimbali wa maedeleo inaendelea kutoa na kuboresha huduma za lishe kwa jamii hasa siku 1000 za uhai wa mtoto tangu mimba kutungwa ili kuondoa tatizo la hali mbaya ya lishe.

Akiongea katika kikao cha robo ya nne Afisa Lishe  Ndugu Seleman Hamis alisema katika kipindi cha April –Juni cha mwaka wa fedha  2018/2019 shughuli zilizofanyika ni kampeni ya utoaji wa matone ya vitamin A na dawa za minyoo ambayo ilifanikiwa kwa asilimia 91% katika utoaji wa Vitamini A na asilimia 94% kwa dawa za minyoo.

Shughuli nyingine ni upimaji wa utapiamlo mkali kwa kutumia utepe wa kupimia mzingo wa mkono (MUAC Tape).Pia Usimamizi shiriki katika vituo vya kutolea huduma za afya na ngazi ya jamii ulifanyika.

Afisa Afya aliongeza kuwa tathmini na ufuatiliaji wa kaya zenye watoto waliokuwa katika darasa la utayarishaji vyakula baada ya miezi 3 (siku 90) ilifanyika pamoja na kufanya vikao vya mwezi kwa wasimamizi wa Afya jamii (WAJA).

Licha ya juhudi hizi zilizofanywa na Sekta ya lishe ikishirikiana na taasisi za kimaendeleo,kuna changamoto ambazo bado zinapelekea zoezi la kuhakikisha kila kaya inapata lishe bora kupunguzwa kasi.Changamoto kama watoto wengi kutokupimwa utapiamlo kipindi cha kampeni,kutokujaza  taarifa katika kolamu ya 18 MTUHA,ukosefu wa kitabu cha Afya ya motto na mbao za kupimia urefu kwa ajili ya ufuatiliaji wa maendeleo na ukuaji wa mtoto, Upungufu wa idadi ya WAJA wenye mafunzo,umbali wa vijiji,ulevi uliokithiri wa wazazi na kata kutokuwa na chakula cha kutosha.

Mwenyekiti wa kikao Ndugu Gideon Mwesiga alishauri kufanyike juhudi ili kupunguza changamoto ikiwa ni pamoja na kuzidisha kufanya usimamizi shirikishi na mafunzo,kutoa elimu zaidi kwa jamii juu ya lishe bora.

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa