• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

JWT IMEKUJA NA MPANGO WA KUBADILISHA CHANGAMOTO KUWA FURSA.

Wakati ilipowekwa: April 8th, 2025

NGARA UPDATES

Jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania JWT Mkoa wa Kagera wameanza mkakati wa kubadilisha changamoto kuwa furusa kwa wafanyabiashara wa mkoa huo, ikiwemo kuchagiza urasimishaji wa biashara zao hali itakayosaidia kuwaondolea vikwazo wafanyabiashara vya kuvutana na mamlaka za kiserikali.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya wafanyabiasha Mkoa Nicolaus Basimaki akizungumza katika ufunguzi wa Warisha hiyo ambayo imefanyika kwa muda wa siku tatu ndani ya manispaa ya Bukoba, ambayo imeshirikisha wadau mbalimbali zikiwemo Benk na wadau maendeleo amesema mpango huo utaongeza furusa za ulipaji wa ushuru na maombi kuongezeka pamoja na kufanya biashara za kisasa.

"Sisi katika utafiti wetu tulioufanya kama JWT tumeona inawezekana kulipa kodi pasipo kuvutana na kusumbuana kwa kuumizana" amesema Basimaki.

Awali akizungumza kwenye warsha hiyo meneja wa mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Mkoa wa Kagera Castro John amesema JWT imekuwa na mchango mkubwa wa kuwaunganisha mamlaka hiyo na wafanyabiashara ambapo kuanzia mwezi Julia hadi February ilikuwa na mpango wa kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 108 na imefanikiwa kukusanya bilioni 122.6 ikiwa imezidi kiwango cha asilimia 100.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa kiwanda cha maji Bunena Chikambi Rumisha amesema mkoa huo kijografia unapakana na Nchi tatu za ukanda wa Afrika Mshariki ambazo zingekuwa fursa ya wafanyabiashara hao kufanikiwa na baadhi ya biashara hazijakizi viwango vya kuwa biashara kubwa badala yake inaonekana kama uchuhuzi wadogowadogo inawabidi kupambana ili kuwa na biashara kubwa hali itakayosadia kutovutana na mamlaka za kiserikali.

Katibu Tawala Mkoa wa Kagera Stephen Ndaki ambaye alikuwa mgeni Rasimi kwenye warsha hiyo amepongeza Jumuiya hiyo kwa kuja na mpango mzuri wa kuandaa bajeti ya muda wa miaka mitatu amabayo itatoa dira ya kuwa na uelekeo chanya kwa kuongeza wigo wa ulipaji kodi kwa maaana Mkoa huo kwa miaka ya 70 ulikuwa unashika nafasi ya pili kitaifa na kuwataka wafanyabiashara wa mkoa huo kuongeza ushirikiano na mshikamano iliwaweze kufanya uwekezaji katika biashara kubwa.




www.ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU 2024/2025 WAFANYIKA UKUMBI WA COMMUNITY CENTRE NGARA MJINI

    May 07, 2025
  • MKUU WA MKOA MHE HAJAT FATMA ABUBAKARI MWASSA AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDEKEO WILAYA YA NGARA

    May 03, 2025
  • MHE HAJJAT FATMA MWASSA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO WILAYA YA NGARA

    May 02, 2025
  • MKUU WA MKOA MHE HAJAT FATMA MWASSA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA WAFANYAKAZI ZAFANA KIMKOA WILAYA YA NGARA

    May 01, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa