- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Kikao Cha kamati ya fedha ,Utawala na Mipango Halmashauri ya Wilaya kimefanyika Leo Tarehe 07/11/2023 katika Ukumbi Mdogo wa Kilimo uliopo Ngara Mjini .
Kikao hicho kilijadili taarifa za robo ya kwanza Julai - Septemba 2023. Pia Taarifa ya Majumuisho ya ziara Iliyofanyika kutembelea Miradi Mbalimbali Wilayani Ngara.
Kikao hicho kimeongozwa na M/kiti wa Halmashauri Mhe. Wilbard J. Bambara wakiwemo Makamu M/kiti wa Halmashauri Mhe Adronizi E. Burindoli, Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg. Solomon Kimilike pia Waheshimiwa Madiwani wajumbe wa kamati hiyo. Pamoja na Wakuu wa Idara na Vitengo Halmashauri ya Wilaya.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa